Kumfumaster97
JF-Expert Member
- Sep 18, 2024
- 354
- 372
Maoni kuhusu hilo tukio linaonyesha kuwa upo na mawazo ya juu juu utiifu ndani ya ndoa ni siri kubwa mno though ni maoni yako kuhusu nidhamu ya huyo mke wa Rais ,Maoni yako yaheshimiwe mkuuKwanini utoe hitimisho la kwamba nina upeo wa karibu halafu baadaye ndio uulize swali la ninajuaje? Kwanini usingeuliza swali kabla ya kutoa hitimisho lako?
Watswana wanaishi kwa mila zao kufanya hivyo sio ajabu Mwanamke anamheshimu sana Mwanaume.Maoni kuhusu hilo tukio linaonyesha kuwa upo na mawazo ya juu juu utiifu ndani ya ndoa ni siri kubwa mno though ni maoni yako kuhusu nidhamu ya huyo mke wa Rais ,Maoni yako yaheshimiwe mkuu
%Chache wanafuata mila zaoWatswana wanaishi kwa mila zao kufanya hivyo sio aja
bu Mwanamke anamheshimu sana
Yeah kabisa kabisaKwa hiyo unataka kujua kama anafanya nyumbani au hafanyi? Alichofanya hadharani ndicho afanyacho kwake na mahali penginepo popote pale.Mwenye heshima ni mwenye heshima tu,mwenye unyenyekevu ni mwenye unyenyekevu tu na utamtambua awapo mahali popote pale.
Mimi ni mzinza ila najua kuwa wanyakyusa ( akina mwanshambwa ) mwanamke kumpigia magoti mwanamme ni sehemu muhimu ya utamaduni wao, kwahiyo najua mleta mada kama kaoa mke wa kabila lake kupigiwa magoti ni jambo la kawaida kama ilivyo kwa wasukuma na wanyambo wa kule Karagwe mkoani .Ma thread yako yanakufanya kuwa the hate figure humu jf. Anyway naamini hata mkeo anakuheshimu kwa kupiga goti.
Ni Mama mpaka 2030.Fomu ya Urais ndani ya CCM ni moja tu kwa ajili ya Jemedari wetu kipenzi Mheshimiwa Daktari Mama Samia Suluhu HasssanBw. Lucas Mwashambwa unafahamu lolote kuhusu women empowernment na the listed western indicators of women abuse?, au tubaki na serikali ya mama yetu mpendwa.
Acheni malalamiko yasiyo na msingi.Mmeshawazuia wagombea wa vyama pinzani,sasa hiv rahaaaa
Itakuwa amenuna.Kwani yule mama Joyce Kilia kama sikosei ameiona na anasemaje?
We huoni aibu,wagombea wa vyama pinzani pekee Ndio wanakosea kujaza form๐๐Acheni malalamiko yasiyo na msingi.
Kwani wewe hufahamu kuwa upinzani wa Nchi hii ina matatizo makubwa sana.Lissu Mwenyewe amesema wapinzani wana mawenge sana.We huoni aibu,wagombea wa vyama pinzani pekee Ndio wanakosea kujaza form๐๐
๐๐๐Kweli ujinga ni kipaji.Dogo unakipaji cha ujinga .Leo chawa limepeperukia Botswana,Mbona hata wewe nakuonaga ofisi za ccm ukifanya hivyo unapopokea sh 2500 unayolipwa kila siku kama malipo ya uchawa mavi
It needs two to tango, usione vyaeleaKwa hiyo unataka kujua kama anafanya nyumbani au hafanyi? Alichofanya hadharani ndicho afanyacho kwake na mahali penginepo popote pale.Mwenye heshima ni mwenye heshima tu,mwenye unyenyekevu ni mwenye unyenyekevu tu na utamtambua awapo mahali popote pale.