Picha bora ya mwezi barani Afrika kutoka kwa Mke wa Rais Mteule wa Botswana na somo kwa wanawake wengi wa viongozi

Kupiga goti Haina uhusiano wowote na maadili au unyenyekevu. Ni taratibu za kitamaduni tuu. Kanda ya ziwa wanapiga mpaka chini lakini Wana roho ngumu Sana kukuua ni nje nje
 
Hapo nikwamba hata mmewe anajitambua kuwa ni mme wa mtu, na anampenda mkewe, sasa mfano mwanaume akiona kosa Kwa mkewe au hajaelewa kitu anamtukana au kumfokea mbele ya watoto au hata mbele ya watoto wa ndugu zake, hivi hapo mke ataupata moyo wakumpa heshima ya kiasi hivyo? Wanawake wapo wenye heshima sana ila wanaume wanashindwa kuipokea hiyo heshima.
 
Hakuna chochote
 
ke
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…