Picha Bora Ya Siku Kutoka Kwa Rais Samia Iliyoteka Mitandaoni Duniani Kwote. Yawakosha Watu Na kuleta Tabasamu

Huwa namuwaziaga huyo dada yetu wa kushoto kabisa aliyevaa kitambaa cha njano na kaunda suti ya blue kwa vyovyote vile atakuwa mlinzi wake na lazima atakuwa komandoo.Huyo atakuwa anajua kutembeza vitasa balaa yaani Taewokondo,Judo,karate,ngumi n.k
Ajabu sasa unaweza kuta nyumbani kwake ni mpolee hata kwa mumewe
Hongera dada kutulindia mama yetu maana kila pahali uko naye
 
Siku Moja Moja mtukuze mungu wako khaa Kila siku Samia samia
 
Nimetafuta sentensi ya KUBUBUJIKWA NA MACHOZI sijaiona.daahh luka lukaaaaa🤣🤣😆
 
Naipenda hii nina kitenge kama hicho
 

Attachments

  • Screenshot_20250611-150023_Lite.jpg
    768.6 KB · Views: 14
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…