Picha Bora Ya Siku Kutoka Kwa Rais Samia Iliyoteka Mitandaoni Duniani Kwote. Yawakosha Watu Na kuleta Tabasamu

Picha Bora Ya Siku Kutoka Kwa Rais Samia Iliyoteka Mitandaoni Duniani Kwote. Yawakosha Watu Na kuleta Tabasamu

Huwa namuwaziaga huyo dada yetu wa kushoto kabisa aliyevaa kitambaa cha njano na kaunda suti ya blue kwa vyovyote vile atakuwa mlinzi wake na lazima atakuwa komandoo.Huyo atakuwa anajua kutembeza vitasa balaa yaani Taewokondo,Judo,karate,ngumi n.k
Ajabu sasa unaweza kuta nyumbani kwake ni mpolee hata kwa mumewe
Hongera dada kutulindia mama yetu maana kila pahali uko naye
😄 😄 ehe

Ova
 
Hii ni mada kwa ajili ya wenye akili na siyo vichaa na Machizi
Uwezo wa akili exposure na experience ni kiwango Cha juu sana kiasi kwamba wewe kwangu ni Trash! Takataka,
Hii Haina sifa ya kuitwa mada isipokua kiroja.
Yani Karne ya 21 kijana kama wewe unaacha kujadili sustainable development Kwa miaka 50 ijayo Kwa ajili ya kuboresha maisha Yako na wajibu wa serikali Kwa wananchi, unatumia nusu saa kuandika kuhusu picha? What a stupid goon
 
Kajifunze kwanza kuandika ndio uje kubishana na wenye akili kubwa na timamu kama mimi
Kama maprofesa walionisimamia katika kazi zangu za taaluma hawakuwahi kuona hiki unachokisema wewe kondom Moja ingetosha kuzuia upatikanaji wako hapa duniani
 
Back
Top Bottom