Lucas Mwashambwa
JF-Expert Member
- Jul 28, 2022
- 40,476
- 26,173
- Thread starter
-
- #81
Ukiona akili za hivyo jua alimezaLuka hivi una hakika hukumeza maji machafu wakati unazaliwa?
Acheni utoto ndugu zangu WatanzaniaUkiona akili za hivyo jua alimeza
Juha likiwa Kazini huku kila mara likisahaulika katika Uteuzi.Ungeacha wenye akili Timamu na wanaojitambua wajadili hoja
Acha dharau dogoJuha likiwa Kazini huku kila mara likisahaulika katika Uteuzi.
Unaonaje ukaolewa na Abdul ili Samia awe mamkwe wako roho yako itulie.Acha dharau dogo
π π eheHuwa namuwaziaga huyo dada yetu wa kushoto kabisa aliyevaa kitambaa cha njano na kaunda suti ya blue kwa vyovyote vile atakuwa mlinzi wake na lazima atakuwa komandoo.Huyo atakuwa anajua kutembeza vitasa balaa yaani Taewokondo,Judo,karate,ngumi n.k
Ajabu sasa unaweza kuta nyumbani kwake ni mpolee hata kwa mumewe
Hongera dada kutulindia mama yetu maana kila pahali uko naye
Wenzake wanakula teuziJuha likiwa Kazini huku kila mara likisahaulika katika Uteuzi.
Kwa hiyo unataka Taifa lote na watanzania wote wawe viongoziWenzake wanakula teuzi
Wengine wanaishia kusifia na kuabudu tu!
Ova
Basi mwanangu yaishe πKwa hiyo unataka Taifa lote na watanzania wote wawe viongozi
Uwezo wa akili exposure na experience ni kiwango Cha juu sana kiasi kwamba wewe kwangu ni Trash! Takataka,Hii ni mada kwa ajili ya wenye akili na siyo vichaa na Machizi
Hii takataka HAIWEZI hata kuongoza familia kwani imeshindwa hata kujotambua binafsi.Kwa hiyo unataka Taifa lote na watanzania wote wawe viongozi
Kama hujui kwamba leadership kwanza inaanza na wewe mwenyewe, umekwisha kabisa! Wewe hapo ni leader of fools championed by chama Cha mapinduzi to lead others into mud of foolishnessKwa hiyo unataka Taifa lote na watanzania wote wawe viongozi
Kajifunze kwanza kuandika ndio uje kubishana na wenye akili kubwa na timamu kama mimiHii takataka HAIWEZI hata kuongoza familia kwani imeshindwa hata kujotambua binafsi.
Kama maprofesa walionisimamia katika kazi zangu za taaluma hawakuwahi kuona hiki unachokisema wewe kondom Moja ingetosha kuzuia upatikanaji wako hapa dunianiKajifunze kwanza kuandika ndio uje kubishana na wenye akili kubwa na timamu kama mimi
Hakuna Profesa anayeweza simamia chiziKama maprofesa walionisimamia katika kazi zangu za taaluma hawakuwahi kuona hiki unachokisema wewe kondom Moja ingetosha kuzuia upatikanaji wako hapa duniani
Kwahiyo hizi shahada nilioko nazo ulijipa wewe na chawa wenzio mnaofanya taifa lisiende mbele?Hakuna Profesa anayeweza simamia chizi