LGE2024 Picha: CHADEMA tunakubali hali ya kiuchumi ni ngumu lakini this is too much. Hii ni stage au kichanja cha vyombo?

LGE2024 Picha: CHADEMA tunakubali hali ya kiuchumi ni ngumu lakini this is too much. Hii ni stage au kichanja cha vyombo?

Uchaguzi wa Serikali za Mitaa 2024

Mindyou

JF-Expert Member
Joined
Sep 2, 2024
Posts
1,869
Reaction score
4,877
Wakuu,

Nimelia sana baada ya kuona picha hii ya Tundu Lissu akiwa anahutubia huko Singida.

Najua kuendesha chama cha siasa Tanzaniani ngumu hasa upande wa kifedha lakini ifike hatua mjipe thamani kama Chama Kikuu Cha Upinzani.

Hivi inakuwaje mtu mzito kama Tundu Lissu mnamsimamisha kwenye jukwaa chakavu na baya kiasi hiki?

Stage kama inataka kudondoka, serious?

Soma Pia: Tundu Lissu: Tanzania sio Jamhuri, tuko chini ya Utawala wa Kijeshi. Ukiondoa Polisi na Wakurugenzi CCM hakuna!

Mna uhakika huyu ndo Mwenyekiti wa CHADEMA ngazi ya kitaifa?

Kweli mlishindwa kutengeneza stage fulani hata kama ni ndogo lakini ya kisasa inayoendana na HADHI ya chama chenu?

TL.png

Ukichukua picha hii ukaipeleka hata hapo Malawi, kwa mtu asiyejua ukubwa wa CHADEMA anaweza akasema Lissu ni mjumbe wa nyumba 10 anahutubia wanakijiji.

Tunaelewa hali ni ngumu lakini zingatieni mambo madogo madogo kama haya.
 
Wakuu,

Najua kuendesha chama cha siasa Tanzaniani ngumu hasa upande wa kifedha lakini ifike hatua mjipe thamani kama Chama Kikuu Cha Upinzani.

Hivi inakuwaje mtu mzito kama Tundu Lissu mnamsimamisha kwenye jukwaa chakavu na baya kiasi hiki?

Stage kama inataka kudondoka, serious?

Soma pia: Tundu Lissu: Tanzania sio Jamhuri, tuko chini ya Utawala wa Kijeshi. Ukiondoa Polisi na Wakurugenzi CCM hakuna!

Mna uhakika huyu ndo Mwenyekiti wa CHADEMA ngazi ya kitaifa?

Kweli mlishindwa kutengeneza stage fulani hata kama ni ndogo lakini ya kisasa inayoendana na HADHI ya chama chenu?

View attachment 3162368

Ukichukua picha hii ukaipeleka hata hapo Malawi, kwa mtu asiyejua ukubwa wa CHADEMA anaweza akasema Lissu ni mjumbe wa nyumba 10 anahutubia wanakijiji.

Tunaelewa hali ni ngumu lakini zingatieni mambo madogo madogo kama haya.
hilo lilitokana na jukwaa hili hapa kuboreshwa gentleman,

na kwahiyo, hilo wameongeza ubora kwa kiasi kikubwa mno aise 🐒
 
Attachments

  • IMG_20230525_060347.jpg
    IMG_20230525_060347.jpg
    150.1 KB · Views: 4
hilo lilitokana na jukwaa hili hapa kuboreshwa gentleman,

na kwahiyo, hilo wameongeza ubora kwa kiasi kikubwa mno aise 🐒

Waongezeeni ruzuku.

Mngekuwa mnawapa ruzuku ya kutosha hali isingekuwa tete hivi
 
Waongezeeni ruzuku.

Mngekuwa mnawapa ruzuku ya kutosha hali isingekuwa tete hivi
wabishi mno sasa,
halafu wanajifanya wajuaji hata katika yale wasiyoyajua..

huenda wakimaliza tofauti zao wanaweza kuwa na uelekeo na sauti moja ya kistaarabu.

waliwezaje huko nyuma?🐒
 
Kama lina usalama haina shida, kikubwa awe juu zaidi ya wengine ili aonekane na anaowahutubia.

CHADEMA msipokee ushauri huu.

SIsemi mtengeneze stage ya Grammy lakini onyesheni wananchi kuwa mambo madogo madogo kama stage na logistcs mshapita.

Umeona stage ya Biteko Geita? CHADEMA Hawashindwi kutengeneza kitu kama kile
 
Waongezeeni ruzuku.

Mngekuwa mnawapa ruzuku ya kutosha hali isingekuwa tete hivi

..Lissu angekuwa Ccm ungekuta V-8 za kutosha, gari ya kinyesi, drones, hedikopta ya doria, askari wenye maguruneti, na bunduki za rashasha.
 
Lakini Mbowe?? Mungu anakuona! Luzuku zote anatafuna na mkwe wake Mtei!
 
CHADEMA msipokee ushauri huu.

SIsemi mtengeneze stage ya GrammyHlakini onyesheni wananchi
kuwa mambo madogo madogo kama stage na logistcs mshapita.

Umeona stage ya Biteko Geita? CHADEMA Hawashindwi kutengeneza kitu kama kile
Ili iweje mkuu??
Watu hawajaenda kushangaa stage, hizo pesa za kutengeneza stage ya Lissu zikasaidie kutejaza wese misafara ya viongozi wengine huko mikoa mingine, maana si jambo la kuambiwa kua kuna ukata chadema.

Madelu tu anaweza akafadhili kampeni za chama chake nchi nzima, ccm ina pesa bwashee.
Hata usijaribu kuwafananisha na upinzani.
 
Back
Top Bottom