Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
..Lissu angekuwa Ccm ungekuta V-8 za kutosha, gari ya kinyesi, drones, hedikopta ya doria, askari wenye maguruneti, na bunduki za rashasha.
Mm ni binadamu siyo CHADEMAUnauliza maswali yote haya kwa sababu hujaangalia speech ya Lissu leo Singida na iko humu jukwaani
Ungeangalia usingeuliza all these questions
Wewe ni CHADEMA?
Acha umbea,hivyo ndio wenzio psmoja nawe mnafurahi kuyaona maisha ya wengine ila sii yenu.Wakuu,
Nimelia sana baada ya kuona picha hii ya Tundu Lissu akiwa anahutubia huko Singida.
Najua kuendesha chama cha siasa Tanzaniani ngumu hasa upande wa kifedha lakini ifike hatua mjipe thamani kama Chama Kikuu Cha Upinzani.
Hivi inakuwaje mtu mzito kama Tundu Lissu mnamsimamisha kwenye jukwaa chakavu na baya kiasi hiki?
Stage kama inataka kudondoka, serious?
Soma Pia: Tundu Lissu: Tanzania sio Jamhuri, tuko chini ya Utawala wa Kijeshi. Ukiondoa Polisi na Wakurugenzi CCM hakuna!
Mna uhakika huyu ndo Mwenyekiti wa CHADEMA ngazi ya kitaifa?
Kweli mlishindwa kutengeneza stage fulani hata kama ni ndogo lakini ya kisasa inayoendana na HADHI ya chama chenu?
View attachment 3162368
Ukichukua picha hii ukaipeleka hata hapo Malawi, kwa mtu asiyejua ukubwa wa CHADEMA anaweza akasema Lissu ni mjumbe wa nyumba 10 anahutubia wanakijiji.
Tunaelewa hali ni ngumu lakini zingatieni mambo madogo madogo kama haya.
Ili iweje mkuu??
Watu hawajaenda kushangaa stage, hizo pesa za kutengeneza stage ya Lissu zikasaidie kutejaza wese misafara ya viongozi wengine huko mikoa mingine, maana si jambo la kuambiwa kua kuna ukata chadema.
Madelu tu anaweza akafadhili kampeni za chama chake nchi nzima, ccm ina pesa bwashee.
Hata usijaribu kuwafananisha na upinzani.
Mkuu.
Hoja yako na stage ya leo Leo ya Lissu vinaingilianaje?
Kwamba Lissu alihitaji hayo maguruneti na MaV8 ili atengeneze stage yenye hadhi ya chama?
Erythrocyte waeleze kuwa hii imetoka kwa Trump wasiichezeeWakuu,
Nimelia sana baada ya kuona picha hii ya Tundu Lissu akiwa anahutubia huko Singida.
Najua kuendesha chama cha siasa Tanzaniani ngumu hasa upande wa kifedha lakini ifike hatua mjipe thamani kama Chama Kikuu Cha Upinzani.
Hivi inakuwaje mtu mzito kama Tundu Lissu mnamsimamisha kwenye jukwaa chakavu na baya kiasi hiki?
Stage kama inataka kudondoka, serious?
Soma Pia: Tundu Lissu: Tanzania sio Jamhuri, tuko chini ya Utawala wa Kijeshi. Ukiondoa Polisi na Wakurugenzi CCM hakuna!
Mna uhakika huyu ndo Mwenyekiti wa CHADEMA ngazi ya kitaifa?
Kweli mlishindwa kutengeneza stage fulani hata kama ni ndogo lakini ya kisasa inayoendana na HADHI ya chama chenu?
View attachment 3162368
Ukichukua picha hii ukaipeleka hata hapo Malawi, kwa mtu asiyejua ukubwa wa CHADEMA anaweza akasema Lissu ni mjumbe wa nyumba 10 anahutubia wanakijiji.
Tunaelewa hali ni ngumu lakini zingatieni mambo madogo madogo kama haya.
Chama kinakunja bln ya ruzuku!Wakuu,

..hoja yangu ni kwamba Lissu angekuwa kiongozi wa Ccm angekwenda kwenye mikutano na majukwaa ya bei mbaya, gari ya kinyesi, drones, hedikopta ya doria, bunduki,maguruneti, na ma-V8.
..yote hayo yanatokana na kuwezeshwa na KODI za wananchi masikini, na wanyonge, wa Tanganyika.
Jombaa kwani madaraja unajenga kwa pesa ya chama au serikali.Mkuu sikuwa na lengo la kuwafananisha.
Hivi kwa ukubwa wa Lissu na CHADEMA hiyo ni stage ya mtu kwenda kuhutubia?
Kama kutengeneza tu a simple stage ni shughuli utawaaminishaje wananchi kuwa utawetengezea madaraja na miundombinu yenye hadhi?
Stage ni mbovu na mbaya. Hata msianze kuisingizia CCM
Jombaa kwani madaraja unajenga kwa pesa ya chama au serikali.
Yaani chadema ianze kujidhatiti kuweka stage za gharama ambazo si ajabu uwezo hawana ili kuwaaminisha wananchi kua ni chama chenye pesa ilhali hawatoi hongo huko mtaani na hawanunui wacheza vigoma na kuwanywesha pombe waende kwenye mikutano yao!!!
Kushindana na ccm kwenye hizo mambo za gharama ati kwa kujifananisha kua hata sisi tumo kibunda tunacho sio rahisi jombaa.
Stage hiyo inatosha, mtaji ni watu tuuu. Kama huwapi pesa, huna stage nzuri na bado wakaja kukusikiliza tu ni hatua nzuri sana.
Siku chama pinzani kikawa na pesa kama ile 2015 aloo ni hatari kwa chama tawala, na hawataruhusu hilo.
Chama kinakunja bln ya ruzuku!
Erythrocyte waeleze kuwa hii imetoka kwa Trump wasiichezee
Haji ng’o! Ananpetipeti saa hiziAje hapa atujibie