LGE2024 Picha: CHADEMA tunakubali hali ya kiuchumi ni ngumu lakini this is too much. Hii ni stage au kichanja cha vyombo?

Uchaguzi wa Serikali za Mitaa 2024
Ulijuaje kwamba hiyo picha ni ya leo?

Unauliza maswali yote haya kwa sababu hujaangalia speech ya Lissu leo Singida na iko humu jukwaani

Ungeangalia usingeuliza all these questions

Wewe ni CHADEMA?
 
..Lissu angekuwa Ccm ungekuta V-8 za kutosha, gari ya kinyesi, drones, hedikopta ya doria, askari wenye maguruneti, na bunduki za rashasha.

Mkuu.

Hoja yako na stage ya leo Leo ya Lissu vinaingilianaje?

Kwamba Lissu alihitaji hayo maguruneti na MaV8 ili atengeneze stage yenye hadhi ya chama?
 
Unauliza maswali yote haya kwa sababu hujaangalia speech ya Lissu leo Singida na iko humu jukwaani

Ungeangalia usingeuliza all these questions

Wewe ni CHADEMA?
Mm ni binadamu siyo CHADEMA
 
Acha umbea,hivyo ndio wenzio psmoja nawe mnafurahi kuyaona maisha ya wengine ila sii yenu.
 

Mkuu sikuwa na lengo la kuwafananisha.

Hivi kwa ukubwa wa Lissu na CHADEMA hiyo ni stage ya mtu kwenda kuhutubia?

Kama kutengeneza tu a simple stage ni shughuli utawaaminishaje wananchi kuwa utawetengezea madaraja na miundombinu yenye hadhi?

Stage ni mbovu na mbaya. Hata msianze kuisingizia CCM
 
Mkuu.

Hoja yako na stage ya leo Leo ya Lissu vinaingilianaje?

Kwamba Lissu alihitaji hayo maguruneti na MaV8 ili atengeneze stage yenye hadhi ya chama?

..hoja yangu ni kwamba Lissu angekuwa kiongozi wa Ccm angekwenda kwenye mikutano na majukwaa ya bei mbaya, gari ya kinyesi, drones, hedikopta ya doria, bunduki,maguruneti, na ma-V8.

..yote hayo yanatokana na kuwezeshwa na KODI za wananchi masikini, na wanyonge, wa Tanganyika.
 
Mm ni binadamu siyo CHADEMA

Ulitaka kupotosha kuwa hapo sio Singida au hiyo picha ni ya uongo.

Nimekuonesha kuwa sio kweli unaanza kuleta maajabu ya ajabu.

Adios
 
Erythrocyte waeleze kuwa hii imetoka kwa Trump wasiichezee
 
Chama kinakunja bln ya ruzuku!
 

Ni kweli mkuu.
 
Jombaa kwani madaraja unajenga kwa pesa ya chama au serikali.

Yaani chadema ianze kujidhatiti kuweka stage za gharama ambazo si ajabu uwezo hawana ili kuwaaminisha wananchi kua ni chama chenye pesa ilhali hawatoi hongo huko mtaani na hawanunui wacheza vigoma na kuwanywesha pombe waende kwenye mikutano yao!!!

Kushindana na ccm kwenye hizo mambo za gharama ati kwa kujifananisha kua hata sisi tumo kibunda tunacho sio rahisi jombaa.

Stage hiyo inatosha, mtaji ni watu tuuu. Kama huwapi pesa, huna stage nzuri na bado wakaja kukusikiliza tu ni hatua nzuri sana.
Siku chama pinzani kikawa na pesa kama ile 2015 aloo ni hatari kwa chama tawala, na hawataruhusu hilo.
 

Mkuu na mimi pia sikusema CHADEMA watengeneze stage za gharama.

Pengine hukunielewa.

Wote I'm saying is they can do better. Sijasema watumie all their resources kwenye kujenga majukwaa.

Mbona ACT wenzao wanajitahidi? ACT na CDM kipi chama kikongwe?
 
Chama kinakunja bln ya ruzuku!

..Ccm wanakunja 3.2 BILLION ya ruzuku kila mwezi.

..Chadema haiwezi kushindana nao kwenye matumizi.

..waacheni watumie majukwaa kulingana na uwezo wa wanachama walioandaa mkutano.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…