LGE2024 Picha: CHADEMA tunakubali hali ya kiuchumi ni ngumu lakini this is too much. Hii ni stage au kichanja cha vyombo?

Uchaguzi wa Serikali za Mitaa 2024
WAngelina nzuri
Magufuli angeibomoa...
 

..majukwaa yanatengenezwa na wananchi wanyonge walioandaa mkutano.

..Na majukwaa hayo ni kielelezo cha UCHUMI wa wananchi wa eneo husika.
 
..Ccm wanakunja 3.2 BILLION ya ruzuku kila mwezi.

..Chadema haiwezi kushindana nao kwenye matumizi.

..waacheni watumie majukwaa kulingana na uwezo wa wanachama walioandaa mkutano.
Mbona Mbowe anatumia helkota,anatumia v8 jukwaa lake ni standard sio kama hilo kichanja cha kuanikia vyombo!
 
..majukwaa yanatengenezwa na wananchi wanyonge walioandaa mkutano.

..Na majukwaa hayo ni kielelezo cha UCHUMI wa wananchi wa eneo husika.

Kwa hoja yako hii

Maana yake ni kwamba kama Lissu angekuwa Oysterbay stage yake ingekuwa nzuri zaidi?

Hivi ushawahi kuona makao makuu ya CDM yalipo. Mbowe anapoishi?

Ntakuwa wa mwisho kuamini kuwa CHADEMA hawana resources za kutengeneza somthing better than that
 
Ni watu wenye 'consumer mentality' ambao wanaona 'material possession' kama utukufu wao. Ni namna ya kuchagua tu.
 
Mbona Mbowe anatumia helkota,anatumia v8 jukwaa lake ni standard sio kama hilo kichanja cha kuanikia vyombo!

..hata Lissu ile gari yake yenye matobo ya risasi ni V-8. Lakini ni gari binafsi.

..hilo jukwaa alilotumia Lissu ni la wananchi waliomualika ktk mkutano wao.

..wananchi uwezo wao ndipo tulipofika.

..hata Mbowe ni mara chache kutumia helikopta, au majukwaa ya bei mbaya.

..Je, kampeni hizi umeona helikopta?
 
Pale kuna bendera za chadema hakuna wananchi wanao andaa mkutano kwa bongo hii........!<
 
Ni watu wenye 'consumer mentality' ambao wanaona 'material possession' kama utukufu wao. Ni namna ya kuchagua tu.

Consumer Mentality? Mbona CDM walihama makao makuu yao ya mwanzo wakaenda kujitanua Mikocheni?

Kwanini wasingebaki huko huko walipokuwa mwanzo?

Kama wana makao makuu yenye hadhi, kwanini wasijitahidi kutengeneza majukwaa mazuri kwa viongozi wao?

Unapajua Mbowe anapoishi?
 

Mkuu acha kutafuta sympathy.

Kwa hiyo kama wananchi ndo wameandaa mnashindwa hata kujiongeza kidogo?

Na ndo maana hata huwezi kupata a single photo inayomuonesha Lissu akiwa na wagombea wa CDM anaowanadi wote wakiwa on stage kwa pamoja. Hiyo stage ni ndogo, pathetic and demeaning.

Acha kuwasingizia Wana Singida mkuu. CDM wana ignorance kwenye mambo hayo
 

..ndio uwezo wa kiuchumi wa wananchi wa maeneo mengi wanakofika viongozi wa Chadema.

..kwanini viongozi wa Chadema watengenezewe majukwaa ya bei mbaya wakati watoto hawana madawati na vyoo mashuleni?
 
Act ina vikwazo gani inawekewa na serikali??

Binafsi sioni hata umuhimu wa jukwaa kua la kisasa kama unavyodai hasa kwa uchaguzi huu wa serikali za mitaa, kina Lissu wanatia nguvu kwa wanachama wao huko kwenye kata na vijiji vyao, bila shaka ni maeneo mengi wanatembelea, sio maeneo yote wanachama wana ukwasi walau wa hilo jukwaa alilosimamia.

Tuwachambue kwa sera zao, sio ukwasi wao.
 
Sasa si afadhali hii kuliko kusimama juu ya Landcruizer.
 
Labda wamefata sera na siyo stegi huwezi juwa.
 
Chadema wakishika nchi cjui wataanza na lipi πŸ˜‚ kujenga nchi, kujenga chama, kujilimbikizia mali au kulipa kisasi πŸ˜‚

Anyway, chadema kimejijenga moyoni mwa watanzania 😎
 
..majukwaa yanatengenezwa na wananchi wanyonge walioandaa mkutano.

..Na majukwaa hayo ni kielelezo cha UCHUMI wa wananchi wa eneo husika.
Dah ww jamaa πŸ˜‚
Usituone sisi wote wapuuzi humu kisa uchawa wako kwa chadema
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…