one by one
JF-Expert Member
- Jul 11, 2015
- 5,835
- 9,330
Wazee wameminywa mapumbu wametajana tu, unataka kupindua serikali kimya kimyaaaaa sio kelele kila siku.Kwanini aliishi kindezi hivyo, walivyomkamata, inaonesha kabisa hakujiandaa na suala la kuvamiwa, ye aliishia kwenye kuamini kujificha, alikosea saana.
KabisaWanaopigania wakiwa nje ya nchi kila siku tunawaambia warudi nchini waongee tukiwa wote..
Polepole karudi nchini bado tunamlaumu angeongea akiwa nje ya nchi SMH....
Kiufupi watanzania hatujui tunachokitaka na pia sisi ni wanafiki kupindukia.
Siku zote hujui matumizi ya green screen !?Mbona kuna pazia la greenscreen ndo alikua anafichia background apo 😐
Suala sio kutajana, suala ni aliishi kizembe, hakuweka mawazo ya kuvamiwa, aliwekeza nguvu kwenye kujifichaWazee wameminywa mapumbu wametajana tu, unataka kupindua serikali kimya kimyaaaaa sio kelele kila siku.
Mtu akishaamini katika Mungu kama alivyokuwa anasema Polepole mara nyingi anajiwekea kujiamini sana.Hili hata mimi limenishangaza sana. Unawezaje kufanya hivyo ukiwa Bongo. Labda kuna kundi lilikuwa vyuma yake wakiamini watatake over nchi ASAP
Unaweza kusoma mazingira na ukapata jibu, hakujiandaa vya kutosha kwa tukio hili, aliwekeza nguvu kubwa kwenye kujificha.Unajuaje kama hajajiandaa? Subiri muda utasema
Wamemuwekea kichupa cha njugu hukioni?This time hawajamuwekea kilainishi mezani na kupiga picha kumchafua
Ndio nawaza hapa, kama alikuwa nayo kwanini hajaitumia kijasusi zaidi!!!?H
Hata Chuma hakuwa nayo?
Sikatai, je hakujiandaa kuvamiwa, hili ndilo kosa kubwa.Mtandao umemsaliti.Namba zake za simu,miamala vocha n k
Nasikitika katika hilo, ilibidi ndani aishi kikomandoo, miwani ya kuonea kwenye giza, mlango uwe na sensor.. bunduki si chini ya 2 na risasi za kutosha.Kabugi sana, means hakuna na CCTV camera, hakuna na tunnel ya kuchomokea, kifupi hakujipanga kujificha
I find this amusing , unachekesha sana .Mtu akishaamini katika Mungu kama alivyokuwa anasema Polepole mara nyingi anajiwekea kujiamini sana.
Ukimuamini Mungu kweli unaweza kuruhusu nyoka mwenye sumu akuume, kwa sababu imeandikwa ukiamini hata sumu ya nyoka haitakudhuru.I find this amusing , unachekesha sana .
Kumuamini Mungu tena ndiko Kuna kufanya uwe makini sababu Mungu anataka ufanye sababu , upambane huku unamtegemea na sio wengi msiofahamu mandhani Mungu anataka ukae umuombe tu bila kufanya sababu zozote kuelekea kwenye jambo hilo
Upo sahihi mkuu, watz sisi ni mabingwa wa kupiga domo tuu ila vitendo hatuna, kila jambo sisi ni kulalamika tuuWanaopigania wakiwa nje ya nchi kila siku tunawaambia warudi nchini waongee tukiwa wote..
Polepole karudi nchini bado tunamlaumu angeongea akiwa nje ya nchi SMH....
Kiufupi watanzania hatujui tunachokitaka na pia sisi ni wanafiki kupindukia.