PICHA: Chumba ambapo Polepole alikuwa akirekodia, akionekana na Ile Black Screen nyuma

Kwanini aliishi kindezi hivyo, walivyomkamata, inaonesha kabisa hakujiandaa na suala la kuvamiwa, ye aliishia kwenye kuamini kujificha, alikosea saana.
Labda alikuwa anatumia simu. Wanakulocate kirahisi.
 
Wengine wanasema wacha tuone hii picha inakoendea! Yani wanaona kama movie na kitu cha kujipozea. Yani sisi tunashida kubwa sana. Na hawa watu wameshatujua. Huyu Polepole kesho tu tatakuwa tushamsahau. Wakiweka match ya Yanga na Simba au Diamond kaongeza mke wa pili ndio kabisaaaaaa.. by saa tano usiku wa leo story inageuka, hakuna tena Polepole. Sisi tunachosha. Bora wanaopambana watuache tu.
 
Sio nyie kila siku mnasema wanaowapigania wasikimbie nchi waje mpambane pamoja!! Au ndio hamjui mnachotaka🙆‍♂️🙆‍♂️🙆‍♂️
Hahaha sisi wa Tz usijaribu kutuelewa. Utapoteza muda. Jana tu walikua wanatukana wakosoaji wa serikali walio nje ya nchi. Leo wanasema Polepole hakuwa smart kukosoa serikali akiwa nchini. Tena wanasema wamekwazika sana kujua kwamba kumbe Polepole alikua Tz.
 
ila pole pole alikuwa anadanya hivyo vitu akiwa Tanzania daaa jamaa sijui alikuwa anawaza nini hasaa😀😀Mumgu atamuweka sawa huko aliko...Ila kama.wamefanya hivyo basi wote na familia zao wasitoke wasiende popote wala kwenye mikutano wajifiche ndani tu mpaka kieleweke wananchi wamechoka
 
Ndio maana nawashangaa sana wanaohangaika na inayoitwa "ukombozi". Watz sisi ni wa kuachwa tu, tunyoosgwe na shida zetu hadi akili zitukae sawa.
 
Suala sio kutajana, suala ni aliishi kizembe, hakuweka mawazo ya kuvamiwa, aliwekeza nguvu kwenye kujificha
Kwenye vita yeyote kuna kushinda au kushindwa Mkuu. Mengi yanawezekana. Huenda pia alizidiwa tu mbinu au jeshi lake lilimsalitii.
 
We jamaa ni kama unatengenezaga angle jambo fulani Ila uanze kubishana, hapo mtabishana siku nzima wiki nzima jambo hilo hilo
 
We jamaa ni kama unatengenezaga angle jambo fulani Ila uanze kubishana, hapo mtabishana siku nzima wiki nzima jambo hilo hilo
Mimi sijatengeneza angle.

Polepole alisema analindwa na Mungu wa mbinguni na hilo lilimpa confidence kufanya alichofanya.

Hakuna video ya Polepole ambayo hakumtaja Mungu wake wa mbinguni.

Polepole alikuwa anamtajataja sana Mungu kwenye videos zake zote.

Kwa nini unasema mimi natengeneza angle wakati haya ni maneno ambayo aliyasema Polepole mwenyewe?

Yani maneno aseme Polepole, mimi nije kuwaonesha tu role ya faith katika decision process ya Polepole, kwa ushahidi wa maneno ya Polepole, halafu unasema mimi natengeneza story?

Mbona hapa wewe ndiye unatengeneza story kwamba mimi natengeneza story?
 
Wala sikuhitaji maelezo yote hayo sababu mm sipo kwenye hayo ya polepole na Imani yake
Mimi nilichosema huwa unatafuta sababu ili uanze kubishana siku nzima na wiki nzima kwa jambo hilo hilo

Hapa kwenyewe unatamani tuendelee kubishana siku nzima as if hatuna kazi zingine za kufanya
 

Utapewa maelezo yote tu unayoona unayahitaji na unayoona usiyohitaji, ili mradi yana logic.

Kitu kikubwa hapa wala si wewe, ni hoja. Kwa sababu hapa wanasoma watu wengi zaidi yako wewe.

Let's list the facts.

Fact 1.

Polepole alisema sana kuwa yeye analindwa na Mungu, na haogopi kwa sababu analindwa na Mungu.

Fact 2

Imani ya kulindwa na Mungu, kwa mtu anayeamini kweli kabisa deeply kwamba analindwa na Mungu, huondoa woga fulani wa kumfanya mtu aongeze ulinzi na awe cautious. Imani hii pia inampa mtu delusions of grandeur kwamba yeye ana mission maalum ya Mungu, hata akishikwa ni kwa ajili ya kazi ya Mungu.

Basically some sort of "Messiah Complex".


Sasa mimi kuja kuunganisha tu mambo, kutoka kwenye maneno na matendo ya Polepole mwenyewe, kuwaelezea watu imekuwaje Polepple akawa careless hivi, nikaeleza kuwa mnaona kawa careless kwa sababu hamjaangalia imani yake, ukiangalia imani yake utaona yupo consistent na imani ya kulindwa na Mungu.

Sasa hapo story niliyotengeneza ambayo haitokani na maneno na matendo ya Polepole ni ipi?
 
Kunywa maji pumzika, unamaliza miti bure tu😅
 
Hivi jf si imefungiwa mpaka mwez wa 12? Hii ingekuwaje najikuta humu naomba kufahamishwa wadau
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…