Picha: Daraja la Bilioni 7.2 Kibiti

Picha: Daraja la Bilioni 7.2 Kibiti

FRANCIS DA DON

JF-Expert Member
Joined
Sep 4, 2013
Posts
38,920
Reaction score
44,970
1729073724740.png

Kwa kweli hata sijui nianzie wapi kuongea, au basi..

=====

Wakazi wa Kata za Mbuchi na Mbwera Kibiti Mkoani Pwani wamemshukuru Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Taznania Samia Suluhu Hassan kwa ujenzi wa Daraja la Mbuchi linalounganisha kata hizo ambao umegharimu shilingi bilioni 72.
 
Suala sio daraja la namna gani, suala ni daraja la namna hiyo iliyopo kwenye picha kugharimu bilioni 7.2. Daraja halina tatizo kabisa, ni zuri, ila bei iliyolipwa ndio tatizo..

Nimekuelewa...

Maana yangu ilikuwa vyema tujue kwa bil 7, tungeweza kupata daraja la hadhi au namna ipi...

Au la hasha, ujenzi wa daraja kama hilo pichani kwa makadirio gharama yake inapaswa iweje...
 
Hiyo pesa kaitoa Samia kwani mpaka ashukuriwe yeye?

Watanzania tumeaminishwa ujinga sana kuwa kiila kitu tunachofanyiwa ni msaada kutoka kwa watawala.

Tunashukuru hata kwa yale ambayo tulipaswa kuwa nayo miaka mingi iliyopita. Upumbavu huu wa 'asante mama' ndio unawapa kichwa hawa watu kuhisi wanaweza kutupelekesha watakavyo.

Hili li nchi bila ya katiba mpya tutafanywa mazwazwa kila kukicha.
 
ila hili suala la kumlaumu rais kwa vitu alivyofany amtu mwingine mnamkosea sana huo ni ulafi wa baadhi ya watendaji tu sasa rais atfanya mangapi?
Unataka alaumiwe nani wakati siku hizi kila kitu anasifiwa Rais sasa jambo likienda vibaya kwanini asilaumiwe yeye! Kama hataki kulaumiwa basi awaambie chawa wake waache kumfanya mungu mtu.
 
Ukipata nafasi ya kupiga pesa za serikali, hakikisha unazipiga kisawa sawa hadi uweke kwenye vitabu vya kumbukumbu
 
Nimekuelewa...

Maana yangu ilikuwa vyema tujue kwa bil 7, tungeweza kupata daraja la hadhi au namna ipi...

Au la hasha, ujenzi wa daraja kama hilo pichani kwa makadirio gharama yake inapaswa iweje...
siwadakta ma injinia wa ujenzi tupeni mwelekeo
 
Lenye
Nimekuelewa...

Maana yangu ilikuwa vyema tujue kwa bil 7, tungeweza kupata daraja la hadhi au namna ipi...

Au la hasha, ujenzi wa daraja kama hilo pichani kwa makadirio gharama yake inapaswa iweje...
Lifti. Watanzania ni watu wenye dharau sana. Wanajua daraja sijui ni nyumba.😂😂😂 Sawa bilioni saba si hela kwa serikali
 
Back
Top Bottom