Picha: Daraja la Bilioni 7.2 Kibiti

Picha: Daraja la Bilioni 7.2 Kibiti

Tatizo wabongo ni wajuaji sana...Umeona iyo contract ya 7.2b inahusisha nini na nini kwenye huo ujenzi?
Ni jukumu lao sasa kuleta taarifa kamili, unapoambiwa daraja kiasa kadhaa, picha ndio hii, utafanya niji zaidi ya kuzungumzia ulicholetewa? Kama inahisi na nyumba za wafanyakazi ni jukumu lao kusema, au kama inahusisha na maintanance kwa miaka 20, ni jukumu lao kusema
 
Suala sio daraja la namna gani, suala ni daraja la namna hiyo iliyopo kwenye picha kugharimu bilioni 7.2. Daraja halina tatizo kabisa, ni zuri, ila bei iliyolipwa ndio tatizo..
Hivi unaweza kutoa gharama ya hiyo daraja kwa kuwekewa tu hiyo picha?
 
Kwa sasa chassis number mtaani ni nyingi tena vyuma vya 2020 kuja juu na sites mpya kibao ndo kamba zenyewe hizo.

Mchumi 1st class anakuambia Rais kadhibiti mianya ya upigaji miradi inasonga tu.

Miradi yenyewe ndiyo kama hii sasa.
 
Hii ni issue ya mwaka juzi na tushaizima kwa mganga bado mnaileta hapa, ili watu wafungwe roho mbaya sasa hizi.
 
Halafu wa chini wanabanwa wasipige maofisini.
Bora ifike mahali kila mtu ajaze mifukoni mwake
 
Back
Top Bottom