FRANCIS DA DON
JF-Expert Member
- Sep 4, 2013
- 38,920
- 44,970
Suala sio daraja la namna gani, suala ni daraja la namna hiyo iliyopo kwenye picha kugharimu bilioni 7.2. Daraja halina tatizo kabisa, ni zuri, ila bei iliyolipwa ndio tatizo..Bil 7 inaweza kujenga daraja la namna gani?
Suala sio daraja la namna gani, suala ni daraja la namna hiyo iliyopo kwenye picha kugharimu bilioni 7.2. Daraja halina tatizo kabisa, ni zuri, ila bei iliyolipwa ndio tatizo..
inategemea kama kun kipande cha lami kuja hapo darajani pande zote mbili inaweza fika hiyo hela pia upana wa daraja.
Kwa daraja hilo kwa hesabu za haraka haraka halizidi bilioni 2Nimekuelewa...
Maana yangu ilikuwa vyema tujue kwa bil 7, tungeweza kupata daraja la hadhi au namna ipi...
Au la hasha, ujenzi wa daraja kama hilo pichani kwa makadirio gharama yake inapaswa iweje...
Basi ni vyema taarifa wanazotoa zikawa comprehensive kwa kueleza hayo yote, ili kuondoa taharuki. Kama ni kilomita 10 za lami kwa kila upande inaweza ikamakeinategemea kama kun kipande cha lami kuja hapo darajani pande zote mbili inaweza fika hiyo hela pia upana wa daraja.
Daraja la dharula halijengwi.
Tatizo wabongo ni wajuaji sana...Umeona iyo contract ya 7.2b inahusisha nini na nini kwenye huo ujenzi?
450 million.Nimekuelewa...
Maana yangu ilikuwa vyema tujue kwa bil 7, tungeweza kupata daraja la hadhi au namna ipi...
Au la hasha, ujenzi wa daraja kama hilo pichani kwa makadirio gharama yake inapaswa iweje...
Unataka alaumiwe nani wakati siku hizi kila kitu anasifiwa Rais sasa jambo likienda vibaya kwanini asilaumiwe yeye! Kama hataki kulaumiwa basi awaambie chawa wake waache kumfanya mungu mtu.ila hili suala la kumlaumu rais kwa vitu alivyofany amtu mwingine mnamkosea sana huo ni ulafi wa baadhi ya watendaji tu sasa rais atfanya mangapi?
Ndio hivyo ila Mungu yupo.
siwadakta ma injinia wa ujenzi tupeni mwelekeoNimekuelewa...
Maana yangu ilikuwa vyema tujue kwa bil 7, tungeweza kupata daraja la hadhi au namna ipi...
Au la hasha, ujenzi wa daraja kama hilo pichani kwa makadirio gharama yake inapaswa iweje...
Lifti. Watanzania ni watu wenye dharau sana. Wanajua daraja sijui ni nyumba.πππ Sawa bilioni saba si hela kwa serikaliNimekuelewa...
Maana yangu ilikuwa vyema tujue kwa bil 7, tungeweza kupata daraja la hadhi au namna ipi...
Au la hasha, ujenzi wa daraja kama hilo pichani kwa makadirio gharama yake inapaswa iweje...