Picha: Daraja la Bilioni 7.2 Kibiti

ila hili suala la kumlaumu rais kwa vitu alivyofany amtu mwingine mnamkosea sana huo ni ulafi wa baadhi ya watendaji tu sasa rais atfanya mangapi?
P******mb........f wakati wa nwamba hizo pesa angezipitisha kwenye kila tobo. The head matters. Alaumiwe Nani sasa hao ni watu wake Sisi hatuwajui
 
Vitu tusivyojiuliza..
i/ corporate tax ni almost 30% ya hiyo pesa ambayo nyingi serikali yenyewe inaichukua.

ii/ Barabara na miundombinu kuingia darajani na kutoka daraji ni km ngapi zimetengenezwa

iii/ hilo daraja lina ulefu kiasi gani ili tuweze kukadilia,

Tukiweza kujua haya machache basi tutaongea, otherwise tutarudi kwenye kauli ya BM, No research no right to speak.
 
Hivi unaweza kutoa gharama ya hiyo daraja kwa kuwekewa tu hiyo picha?
Nikikuwekea picha ya kibanda cha mlinzi nikakwambia kimejengwa kwa milioni 300, utanyamaza tu kisa huwezi kujua gharama ya kibanda kwa kuangalia picha?
 
Unatania au unasema kweli? Unajua standard ya lami/km ni Bil 3? Sasa iweje ziwe pande zote mbili.
Nimetoa mfano, waseme hiyo pesa ni ya daraja tu au pamoja na barabara, na ni kilomita ngapi kama zipo?
 
View attachment 2862449

Kwa kweli hata sijui nianzie wapi kuongea, au basi..

Mimi nadhani Africa/Tanzania tuachane na hizi ngonjera za maendeleo. Haya tuliyonayo yanatosha.
tukifanya hivo tutaishi kwa amani bila kulaumiana.

Watawala wanajua wanatudanganya. Watawaliwa tunajua tunadanganywa. Ilmradi tunaishi kwa kuviziana.
 
Hiyo sio kazi yetu, ni kazi yao wao kutoa huo utetezi, kwanini tuanze kubuni buni vitu, kama kuna hayo mambo yawekwe wazi..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…