fake shoes, fake close fake everything hahahah yeezy 2 red ctober not release yet .. stop wore fake stuff
Hiyo kaazima kwa mtu, siku tatu mbili kwa ajili ya kuuzia kitaa
mbona una punic??mleta mada kasema MKOKO MPYA.....ndio maana wengi,nikiwemo mimi nimemwambia BXF ni gari ya mwaka juzi.....no hating hapo ni facts tunapeana.....still hio ni expensive ride but its not new.
Angekua kaagiza moja kwa moja kutoka Japan lina namba za CXZ ungeona jipya, wakati kule pia limetumia, wala usinge comment hapa. Hata hilo kwa bongo ni jipya kabisa, ulitaka 0 mileage ndio ujue jipya... Kubalini tu kwamba anafanya vizuri. Kwani ukimpa heshima na sifa zake utakufa... acheni chuki binafsi.