Picha,Diamond Platnuma na Huu Mkoko Mpya wa Kishua ni Jeuri ya Fedha au?

Picha,Diamond Platnuma na Huu Mkoko Mpya wa Kishua ni Jeuri ya Fedha au?

Hiyo kaazima kwa mtu, siku tatu mbili kwa ajili ya kuuzia kitaa
 
Hiv huyu almasi si alikuwa na kikao na kina membe mwishoni mwa mwaka jana?
 
Mbona anaficha namba ya mwanzo?? Kama bxf .....,,,b,,,,ni ndinga za zamani toka 2009. Hiyo gari imesajiriwa muda na imetumika vya kutosha.
 
Dah bongo bana, huu ndo uzuri wake, wa kuponda wapo, wa kukiri jitihada za mtu na kumpongeza wapo na wenye chuki hawakosekani. Hongera Naseeb, jitihada na nidhamu kwenye kazi yako ndo siri ya mafanikio ya kila mtu duniani. Achana na hao wenye mioyo ya fisi wakikusubiri ushuke.

Hao mademu wanahitaji kusifiwa tu kuwa wako na wewe, hawahitaji ofa zao, so endelea kuwagonga aka acha muvi iendelee
 
Angekua kaagiza moja kwa moja kutoka Japan lina namba za CXZ ungeona jipya, wakati kule pia limetumia, wala usinge comment hapa. Hata hilo kwa bongo ni jipya kabisa, ulitaka 0 mileage ndio ujue jipya... Kubalini tu kwamba anafanya vizuri. Kwani ukimpa heshima na sifa zake utakufa... acheni chuki binafsi.

mbona una punic??mleta mada kasema MKOKO MPYA.....ndio maana wengi,nikiwemo mimi nimemwambia BXF ni gari ya mwaka juzi.....no hating hapo ni facts tunapeana.....still hio ni expensive ride but its not new.
 
ngari ni nzuri snaa ila ni ya mwaka juzi star amenunua gari mkononi kwa mtuu?hela za mawazo hizo na anadhihirisha bado anatabia za tandale ambapo watu hununua suruali kwa mtu kisa inampendeza,brooooo zama show room achaaisha ya kishamba
 
Angekua kaagiza moja kwa moja kutoka Japan lina namba za CXZ ungeona jipya, wakati kule pia limetumia, wala usinge comment hapa. Hata hilo kwa bongo ni jipya kabisa, ulitaka 0 mileage ndio ujue jipya... Kubalini tu kwamba anafanya vizuri. Kwani ukimpa heshima na sifa zake utakufa... acheni chuki binafsi.

hujui maana ya jipya kaa kimya.
 
Back
Top Bottom