Picha,Diamond Platnuma na Huu Mkoko Mpya wa Kishua ni Jeuri ya Fedha au?

Picha,Diamond Platnuma na Huu Mkoko Mpya wa Kishua ni Jeuri ya Fedha au?

Big up man hata kama ni bxf ni umenunua kwa hela zako wengi wanoponda usikute ni wenzangu tunaogombania daladala kila siku
 
warumi huyu jamaa hata mie sijawah msikia kamnunuliaa kitu demu wakee,hata Penny alikiri tu wanazimika na umaarufu wema atasubiri mnoo hivyo vifaa halafu wema anashindwa kununua vifaa vyake heeee kumbe kila kitu kuhongwaaaaa

Chezea diamond wewe ,wema akisubiri hvyo vifaa kutoka kwa diamond atasubir sana, angejitahid tu kuvumilia kwa clement ata kama alikuwa akimpa kipondo heavy,maana jamaa alikuwa anayaweza kwenye suala zima la kuhonga
 
Last edited by a moderator:
Ningefurah sana kumuona kahamia kwenye mjengo wake badala ya kuangaika na ma v8,aka ajue kabisa Elimu hana,na hizo pesa ni za msimu tu kama anabisha amuulize Mr nice,huu ni mda wake itafika kesho ikawa zamu ya mavoko

hilo gar mpaka mmiliki namjua sema sipendi kujadili personal life ya mtu ktk uhalisia huyo dogo hela ya kununua na kutunza land cruiser v8 hana ni wavivu wa kufikiri tu ndo wanaweza kuamini
 
hilo gar mpaka mmiliki namjua sema sipendi kujadili personal life ya mtu ktk uhalisia huyo dogo hela ya kununua na kutunza land cruiser v8 hana ni wavivu wa kufikiri tu ndo wanaweza kuamini

Kaka funguka,usijali tindikali siku izi hamna hondoa hofu,tiririka
 
Kaka funguka,usijali tindikali siku izi hamna hondoa hofu,tiririka

hapana.............
ila ktk hali ya kawaida dogo anaweza miliki v8? ni sawa na jk akwambie anamiliki trilioni 40 wakati makusanyo ya serikali trilioni 12
 
Wamshauri tu...superstars huwa wanakuwa na sports car sio gari za aina hizo, land cruiser sio gari za super stars..apate ushauri au basi aangalie super stars wenzake duniani yawezekana hajui
 
Ila huyu jamaa mbahili hatari,wema atamkumbuka sana clement,kwa hustle za diamond halafu from no where amuhonge wema v8? Thubutuu..thumb up brother,anachapa anakimbia zake

Anamtafutia kama ile aliyompa Ngulumo,mkiiona popote mumtwangie sim.
 
Naona anajitahidi kweli kuificha hiyo B wananchii tusiione...sidhani kama ni bahati mbaya hizo picha zote zifiche B

Kumbe na wewe umegundua hilo..kajitahidi kuficha lkn somehow tumeona kwa mbaaaliii
 
Back
Top Bottom