Rekebisha kidogo kwa kusema walio vamia jiji sio wazawa dada itakuwa imekaa vizuriWanaojadili haya ni wanaume wa Dar...
Wamkoani wapo bize na kazi 🤣🤣🤣
😁😁😁😁😂🤣🤣Condom tu ingezuiaa hii post.
Aje navyo bongoMsanii Diamond Platnumz ametupia mavazi na vito vya thamani kubwa vilivyogharimu jumla ya dola 265,259.95, sawa na Tsh. Milioni 659,171,100 akiwa ameunganishia mitindo ya kifahari kutoka Prada, Moncler, Louis Vuitton, Chrome Hearts, Balenciaga, na John Varvatos pamoja na mkufu wake wa Wasafi Chain wenye thamani ya robo milioni ya dola.
Orodha ya mavazi na vito:
• Prada Sunglasses – $607
• Moncler Balaclava – $285
• Louis Vuitton Embroidered Calfskin Varsity Jacket – $6,050
• Wasafi Chain – $250,000
• Chrome Hearts Cross Ball Chain Small Necklace – $3,799.95
• Balenciaga Men’s Moto Logo Belt in Black – $525
• John Varvatos The Rocker Leather Pants – $1,998
• Balenciaga Men’s Venom Leather Combat Boots – $1,995
View attachment 3436875
View attachment 3436876
View attachment 3436878
View attachment 3436879
View attachment 3436880
View attachment 3436881
View attachment 3436883
View attachment 3436884
😂😂😂Condom tu ingezuiaa hii post.
Nafikiri mtoa Uzi ndio MpumbavuCOMMENTS ZA JUU NYINGI ZINAONESHA TULIVYO NA WAPUMBAVU WENYE ROHO MBAYA NA CHUKI ZA KIJINGA
Hii kweli jamani nchi maskini kama tz mtu mmoja tu ananunua nguo za kuvaa tu tena mara mmoja tu kwa ela yote hiyo hii hajakaa sawa ?wa tz wengi wana CHUKI na ROHO MBAYA kwa mtu yeyote yule, aliefanikiwa KIUCHUMI mbele ya macho yao. sijui nani aliiloga hii nchi! yani mwendo wa kuponda tu, dah! nakupa PONGEZI Diamond Platnumz.
hard work pay.
Mkuu, unabidii ku-google vitu vyote hivi kumsifia mwanamme mwenzako. Katika muda ulipoteza kutafuta hivi vitu mtandaoni, ungejishughulisha na vitu vyako unafikiri ungefikia wapi?Msanii Diamond Platnumz ametupia mavazi na vito vya thamani kubwa vilivyogharimu jumla ya dola 265,259.95, sawa na Tsh. Milioni 659,171,100 akiwa ameunganishia mitindo ya kifahari kutoka Prada, Moncler, Louis Vuitton, Chrome Hearts, Balenciaga, na John Varvatos pamoja na mkufu wake wa Wasafi Chain wenye thamani ya robo milioni ya dola.
Orodha ya mavazi na vito:
• Prada Sunglasses – $607
• Moncler Balaclava – $285
• Louis Vuitton Embroidered Calfskin Varsity Jacket – $6,050
• Wasafi Chain – $250,000
• Chrome Hearts Cross Ball Chain Small Necklace – $3,799.95
• Balenciaga Men’s Moto Logo Belt in Black – $525
• John Varvatos The Rocker Leather Pants – $1,998
• Balenciaga Men’s Venom Leather Combat Boots – $1,995
View attachment 3436875
View attachment 3436876
View attachment 3436878
View attachment 3436879
View attachment 3436880
View attachment 3436881
View attachment 3436883
View attachment 3436884
Hapo anafuatilia maisha ya mwanamme mwenzake huku yeye akiwa hana kazi ya kufanya zaidi ya kubishania Simba na Yanga pamoja na kufuatilia maisha ya wasanii. Ndiyo maana CCM inatuchezea akili wakijuwa wananchi wa Tanzania karibia ya wote ni mazezeta.bado hajatuonesha mjengo wa kistar hebu ajenge hekalu ili sifa ziive kabisa
Sasa kwa uwepo wa ccm huyu jamaa anapata wapi kazi ya kufanya? Wamemnyima ajira za serikali na hata za kujiajiriHapo anafuatilia maisha ya mwanamme mwenzake huku yeye akiwa hana kazi ya kufanya zaidi ya kubishania Simba na Yanga pamoja na kufuatilia maisha ya wasanii. Ndiyo maana CCM inatuchezea akili wakijuwa wananchi wa Tanzania karibia ya wote ni mazezeta.