Picha: Diamond Platnumz akiwa ametupia mwilini zaidi ya Tsh. Milioni 659!

Bro hata afanya nini lazima apigwe vijembe. Roho chafu ni full time work kwa wabongo
 
Aje navyo bongo
 
wa tz wengi wana CHUKI na ROHO MBAYA kwa mtu yeyote yule, aliefanikiwa KIUCHUMI mbele ya macho yao. sijui nani aliiloga hii nchi! yani mwendo wa kuponda tu, dah! nakupa PONGEZI Diamond Platnumz.
hard work pay.
 
Vya kuchovya hivyo (Famba) 😹😹😹
Njoo kkoo unapata huo muenekano wote kwa laki mbili na nusu na hakuna wa kukutofautisha na Og yake..!!
 
wa tz wengi wana CHUKI na ROHO MBAYA kwa mtu yeyote yule, aliefanikiwa KIUCHUMI mbele ya macho yao. sijui nani aliiloga hii nchi! yani mwendo wa kuponda tu, dah! nakupa PONGEZI Diamond Platnumz.
hard work pay.
Hii kweli jamani nchi maskini kama tz mtu mmoja tu ananunua nguo za kuvaa tu tena mara mmoja tu kwa ela yote hiyo hii hajakaa sawa ?
 
Sijui kwanini mi kitu kikishakuwa na malabels sijui prada sijui Lv sijui BB naonaga ni ushamba!
Au sijui mi ndo mshamba zaidi?
Pengine ni vile siwezi kuafford ila hakiiii najua hata ningekua na hela ya kununua najua nisingenunua hizo nguo sijui viatu vyenye maneno maneno
 
Mkuu, unabidii ku-google vitu vyote hivi kumsifia mwanamme mwenzako. Katika muda ulipoteza kutafuta hivi vitu mtandaoni, ungejishughulisha na vitu vyako unafikiri ungefikia wapi?
 
bado hajatuonesha mjengo wa kistar hebu ajenge hekalu ili sifa ziive kabisa
Hapo anafuatilia maisha ya mwanamme mwenzake huku yeye akiwa hana kazi ya kufanya zaidi ya kubishania Simba na Yanga pamoja na kufuatilia maisha ya wasanii. Ndiyo maana CCM inatuchezea akili wakijuwa wananchi wa Tanzania karibia ya wote ni mazezeta.
 
Sasa kwa uwepo wa ccm huyu jamaa anapata wapi kazi ya kufanya? Wamemnyima ajira za serikali na hata za kujiajiri
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…