Kibonde kapigwa tanaganyika jeki na trafik
Unataka uelewe nini cha ziada....????
Ushahidi wanao askari na mzungu aliyegongwa!
Kibonde ni wa kufungwa,kuendesha gari akiwa tingasi,alitaka kusababisha kifo cha askari wa barabarani,tatu kusababisha uharibifu wa mali.
waleta habari hebu jipangeni mtupe habari sahihi,huyu anasema kagonga kakimbia kakamatiwa Ubungo,mwingine kagonga kashuka kamtisha mzungu kakamatwa hapo hapo.....which is which
You have a strong point,Kibonde aje aeleze nini kimetokea
Mkuu unaweza kufafanua maana nahisi cjakuelewa,..
Sababu hasa ni nin?
Wengne kajibu mbovu
wengne kakimbia
hata eneo la tukio ni kizungu zungu
Watu wengine kweli viazi. Mtu katuletea habari na picha wewe unasema fitina za UKAWA, kwani wao ndio waliomwambia amtukane askari?
Sent from my iPad using JamiiForums
hahaha huyu jamaa kazidi umachi noo!
aisee.....
Hii habari ni kweli na huyu Miss ni nani?
Started by FairPlayer, 25th March 2010 14:12
hiyo source ndio #1 kwa umbea....
~~~~~~~Nne: kukaidi amuri harari ya gesi ra porisi!
Sawa wache court decide
Achaa ujingaaa wewe...Uyo sio Kibondeee....mbonaa jamaaa...Ndio anatokaaa Home mda huu...
Watu
wote wana meno 32