Picha: Ephrahim Kibonde wa Clouds FM atiwa nguvuni

Picha: Ephrahim Kibonde wa Clouds FM atiwa nguvuni

attachment.php
 
waleta habari hebu jipangeni mtupe habari sahihi,huyu anasema kagonga kakimbia kakamatiwa Ubungo,mwingine kagonga kashuka kamtisha mzungu kakamatwa hapo hapo.....which is which
 
Nani atakuwa anampelekea ile kitu maana inatakiwa ainywe kwa masaaa hahahahaha
 
waleta habari hebu jipangeni mtupe habari sahihi,huyu anasema kagonga kakimbia kakamatiwa Ubungo,mwingine kagonga kashuka kamtisha mzungu kakamatwa hapo hapo.....which is which

You have a strong point,Kibonde aje aeleze nini kimetokea
 
Sio siri huwa ananiudhi saana pale anaposema "masalamaleko" yake hovyo hovyo na mfululizo redion, utafikiri ni radio imani au Iqra ile afu linaona siiiifa kumbe hopolesi kabisa...... Blalifuli! Porokodiomadonna!!

Weka sero tena ile yenye mavi mengi zaidi.
 
Sababu hasa ni nin?
Wengne kajibu mbovu
wengne kakimbia
hata eneo la tukio ni kizungu zungu

Kagonga gari kwa nyuma maeneo ya Makumbusho ila kwa anajiona mjanja akakimbia.
Ila akazuiwa maeneo ya Mwenge nako pia akatoa maneno ya ovyo kisha kuondoka tena
Baadaye akatiwa nguvuni Ubungo na kusekwa lupango kituo cha Osterbay
Nahisi mpaka sasa umeelewa............!!!!
 
Watu wengine kweli viazi. Mtu katuletea habari na picha wewe unasema fitina za UKAWA, kwani wao ndio waliomwambia amtukane askari?


Sent from my iPad using JamiiForums

Shida kubwa ya baadhi ya watz hasa ccm ni kukalili mambo. Ndio maana hata rais dhaifu alipokandia ripoti ya tume ya katiba mafisadi wakabaki upande wake vila ya angalau kutumia akili zao kidogo kwa mustakabali wa taifa.
Shame on u kibonde ccm na clouds media kwa upimbi wenu
 
Mi nadhani wangemwitia mwizi ili auawe na wananchi wenye hasira kali
 
Achaa ujingaaa wewe...Uyo sio Kibondeee....mbonaa jamaaa...Ndio anatokaaa Home mda huu...

hizi tabia za kutetea bwanako ziwe huko huko kitandani tena chumbani.Huyo ----- wako kaleta fujo na sisi katusababishia folen
 
Watu
wote wana meno 32

Sasa si unaambiwa ya kwake yamezidi we vp, siku ukipata nafasi mchunguze
vizuri hata kwenye lile tangazo lake la michepuko si dili akikenua tu (japo huwa anajitahidi kuyaficha)
utaiona dental formula yake ilivyokaa ovyo meno yamezidi hadi kupandana
 
Back
Top Bottom