Picha: Ephrahim Kibonde wa Clouds FM atiwa nguvuni

Aiseeee kumbe ni Tangazo la USALAMA BARABARANIIIIII jama akisoma ataona namna namna gani jamii haimpendi.
 
Kweli nimeamini Clouds Media Group ni genge la Wahuni maana juzi tu tumetoka kusikia watangazaji wa kipindi cha XXL wametukanana redioni.
Sio wote bana, mbona Dokta Isack ni mstaarabu tu ?
 
Wakuu mpaka sasa clouds bado hamja waelewa.Msiamini lolote kutoka kwao,hilo ni tangazo tu kama ilivyokuwa ile ya watangazaji kupigana studio. Kibonde hapo yupo kazini hakuna ukweli wowote ni maigizo tu

Na cha ajabu mleta stori anaeleza as if alikuwa kwenye Helikopta, tena standby maana kafuatilia mwanzo mwisho.....

Huku kwetu Mbulu tukipewa story kama hizi, msimuliaji anapomaliza tuliokuwa tunasikiliza huwa tunatamka wote kwa pamoja..."hiyo ni adis tu" yaani kwa kiswahili nyoofu "hiyo ni hadithi tu
 
Unaendesha gari ukiwa umelewa na kusababisha ajali afu polisi wa barabarani wanakueleza unajibu ungese ungese!!!! nimefurahi sana kumuona anatembelea dole gumba kwa tabu sanaaa.
 
Ungekuwa traffic naamini usingeongea hayo.Mara zote ukiona anaita magari ya upande mmoja kwa muda mrefu huwa wanakuwa na sababu zao nzuri tu za kiusalama,so Usipende kuongea vitu usivovijua.Back to the topic Kibonde kazidi anajifanya mjuaji sana wacha wamshikishe adabu.Na amshukuru mkewe atleast kambadilisha hana historia nzuri ya kujivunia hata kidogo.
 

Hahahahaaaa umeni furahisha sana hapo uliposema kuwa kama yupo kwenye helkopta maana nilikuwa natafuta namna ya kumuelezea mleta habari jinsi alivyo muongo nikawa sipati ila wewe umeiwakilisha sahihi kabisa
 
Hivi huyu ng'ombe hiki kiburi anatowa wapi? ana bahati sana huyu leo mtu angekufa kwa kugongwa na garii muder case angeibeba huyu na kiburi chote kingekwisha.

Kibonde angeingia ukonga kile kitambi kingeisha ndani ya siku tatu!!!!! Angepata tumbo flat sana kama mwanamitindo.
 
Wangekuwa wa magharibi sasa hivi wangeanza kuondoa udhamini wao na kumtumia kwa matangazo yao.
 
askari wanajitahidi sana kazi nzuri
 
Mods pls tatueni hii issue maana kuna mkanganyiko wengine wanasema tangazo wengine wanasema ni kweli nadhani mna wahandishi wa habari ebu watumieni kupata ukweli wa hii issue kama ni tangazo muupdate kwa juu na thread ifungwe.
 
wangempiga tuu hana adabu mjinga sana
Mkuu ukiondoa tukio la leo, ambalo linajulikana kibonde ana tatzo gan jingine? Maana hatika post455 n kama 5 tu kwa makisio zilizo msuport, mwenye detailz zake atujuze ili wasiojua kama mm tujue,
 
Watu wasiokuwa na faida duniani wakifa ni lazima niende buchani kununuwa figo na maini ili nile rost ya kushangilia
Siku hiyo ikifika kwa kibonde ukinunua tufigo na tumaini uniite tuje kusheherekea wote mwana!Mi nitajitolea kupika roast la kufa mtu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…