Daudi Mchambuzi
JF-Expert Member
- Nov 25, 2010
- 62,197
- 128,160
Hivi-hivi mlisema wale wavuta bange wa xxl wanaigiza lakini mwisho wa siku kipindi kimesimamishwa kwa utovu wa nidhamu.wanatengeneza tangazo.....
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hivi-hivi mlisema wale wavuta bange wa xxl wanaigiza lakini mwisho wa siku kipindi kimesimamishwa kwa utovu wa nidhamu.wanatengeneza tangazo.....
Sio wote bana, mbona Dokta Isack ni mstaarabu tu ?Kweli nimeamini Clouds Media Group ni genge la Wahuni maana juzi tu tumetoka kusikia watangazaji wa kipindi cha XXL wametukanana redioni.
Aiseeee kumbe ni Tangazo la USALAMA BARABARANIIIIII jama akisoma ataona namna namna gani jamii haimpendi.
Wakuu mpaka sasa clouds bado hamja waelewa.Msiamini lolote kutoka kwao,hilo ni tangazo tu kama ilivyokuwa ile ya watangazaji kupigana studio. Kibonde hapo yupo kazini hakuna ukweli wowote ni maigizo tu
Ungekuwa traffic naamini usingeongea hayo.Mara zote ukiona anaita magari ya upande mmoja kwa muda mrefu huwa wanakuwa na sababu zao nzuri tu za kiusalama,so Usipende kuongea vitu usivovijua.Back to the topic Kibonde kazidi anajifanya mjuaji sana wacha wamshikishe adabu.Na amshukuru mkewe atleast kambadilisha hana historia nzuri ya kujivunia hata kidogo.Tatizo ni foleni wandugu. Tuko wengi tuna hasira kutokana na kucheleweshwa makazini na foleni ya magari jijini. Maaskari wa barabarani ni wasumbufu sana,mara nyingi wanachelewesha magari ya upande fulani,na kuruhusu ya upande mwingine kwa muda mrefu. Nafikiri jamaa alikuwa anawahi airport. Lakini kwa nini adhalilishwe hadharani kiasi hicho,askari wetu wanatumia maguvu zaidi,kichwani zero. Sikubaliani na kibonde kwa mengi,lakini kwa hili amedhalilihwa.
Na cha ajabu mleta stori anaeleza as if alikuwa kwenye Helikopta, tena standby maana kafuatilia mwanzo mwisho.....
Huku kwetu Mbulu tukipewa story kama hizi, msimuliaji anapomaliza tuliokuwa tunasikiliza huwa tunatamka wote kwa pamoja..."hiyo ni adis tu" yaani kwa kiswahili nyoofu "hiyo ni hadithi tu
Hivi huyu ng'ombe hiki kiburi anatowa wapi? ana bahati sana huyu leo mtu angekufa kwa kugongwa na garii muder case angeibeba huyu na kiburi chote kingekwisha.
Kilaza
Sanaaa tutafanya na 'hepi besdei' teh teh teh!Huyu mtu hapo kakamatwa tu watu wanashangilia akifa sipati picha kuna watu hapa watasheherekea...dah
Wangekuwa wa magharibi sasa hivi wangeanza kuondoa udhamini wao na kumtumia kwa matangazo yao.Hiv hao wanaofanya mkataba nae wakichukulia hii scandal kama inavyo changiwa hum ndani bado anaendelea kuwa mtangazaji wa TV na RADIO? Je uhalali wake kwa kutangaza unaonekanaje kwa watu baada ya tukio hili?
Najarib kujiulza atakanusha au atakaa kimya na kuendelea na vipindi kama kawaida?
Je hili ni tukio binafsi ambalo haliihusu clouds media au inahusika? Kama inahusika je kwa sababu ya public interest wanachochote cha kusema?
Tahadhari wasije na swaga za igizo kama la xxl,
Aiseeee kumbe ni Tangazo la USALAMA BARABARANIIIIII jama akisoma ataona namna namna gani jamii haimpendi.
Hivi-hivi mlisema wale wavuta bange wa xxl wanaigiza lakini mwisho wa siku kipindi kimesimamishwa kwa utovu wa nidhamu.
askari wanajitahidi sana kazi nzuriUngekuwa traffic naamini usingeongea hayo.Mara zote ukiona anaita magari ya upande mmoja kwa muda mrefu huwa wanakuwa na sababu zao nzuri tu za kiusalama,so Usipende kuongea vitu usivovijua.Back to the topic Kibonde kazidi anajifanya mjuaji sana wacha wamshikishe adabu.Na amshukuru mkewe atleast kambadilisha hana historia nzuri ya kujivunia hata kidogo.
Mkuu ukiondoa tukio la leo, ambalo linajulikana kibonde ana tatzo gan jingine? Maana hatika post455 n kama 5 tu kwa makisio zilizo msuport, mwenye detailz zake atujuze ili wasiojua kama mm tujue,wangempiga tuu hana adabu mjinga sana
Siku hiyo ikifika kwa kibonde ukinunua tufigo na tumaini uniite tuje kusheherekea wote mwana!Mi nitajitolea kupika roast la kufa mtu.Watu wasiokuwa na faida duniani wakifa ni lazima niende buchani kununuwa figo na maini ili nile rost ya kushangilia