Picha: Ephrahim Kibonde wa Clouds FM atiwa nguvuni

Unakumbuka huko nyuma ilishatokea watangazaji wa radio anayoifanyia Kibonde watangazaji kugombana live kwenye kipindi! Kwa hiyo usishanage Katiba ya watu wanaofanya kazi kwenye radio hii na usimamizi wa madili yao.
 
Anamtegemea Jk best yao. Wakumbuke mwisho wake ni kesho kutwa
 
Wangekuwa wa magharibi sasa hivi wangeanza kuondoa udhamini wao na kumtumia kwa matangazo yao.

ni kweli lakini mwenye matokeo yake aweke tujue kama kweli anajua miiko ya utangazaji hivi hata unazingatia kutochepuka sio dili kama hufati hufati utii bila shuruti sutaishia chuo cha magereza na michepuko utaikuta tena 0655 michepuko sio dili inaendana na utii bila shuruti
 
Huyo Traffic hakuwa na kitu ya Ditopile Ukiwaona Mzuzuri? Ile kitu safi safi sana kwa madereva wapumbavu kama kibonde. Traffic hakikisheni munakuwa na ile kitu ya Ditopile kukomesha hawa public figure uchwara.
 
Mnaosema ni tangazo jibuni maswali haya 1:Kampuni gani iko responsible na production ya hilo tangazo? 2: Kibonde aliiingia mkataba na kampuni au jeshi la police au Wizara ya mambo ya ndani kuhusu kutengeneza hilo tangazo? 3: Je Ubungo mataa ndio ilikuwa desired location? 4: picha na clips zinazozunguka whatsaap hazionyeshi shooting crew na Vifaa vyao Kama kamera, lights etc je walikuwa wana shoot Kwa satellite? 5: Jana kibonde alionekana na hilo shati kwenye hafla Dodoma ya NHC so inamaana habadili shati au ndio katoka kwenye mitungi yake usiku kucha na kufanya mifujo bararani.
 
Wangekuwa wa magharibi sasa hivi wangeanza kuondoa udhamini wao na kumtumia kwa matangazo yao.

Tatizo la msingi. Wakipata vihela vidogo ndio wanakuwa wapumbavu. Credible comapanies mtaendelea kumtumia. Kuanzia leo nikiona tangazo lake nazima hiyo station.
 
Mods pls tatueni hii issue maana kuna mkanganyiko wengine wanasema tangazo wengine wanasema ni kweli nadhani mna wahandishi wa habari ebu watumieni kupata ukweli wa hii issue kama ni tangazo muupdate kwa juu na thread ifungwe.

Kiongozi hilo sio tangazo maana kunapicha hapa inaonesha yupo rumande na kama anampiga mkwara anayempiga picha!!
 
Unanataka ukimwi usiingie nyumbani kwako?
Ni rahisi sana!
Baki njia kuu!
Acha michepuko!
Epuka ukimwi!
 
Ukaidi sio mzuri wakati mwingine
 

Attachments

  • 1407604399519.jpg
    63.2 KB · Views: 965
Reactions: PSM
Ni kama anasema 'mnajifanya wajanja eeh? Mnanijua mimi nani? Sasa subirini nitoke ndo mtajua kwamba si kila mtu huwa anawekwa mahabusu'......najaribu tu kubuni lol
 
Ni kama anasema 'mnajifanya wajanja eeh? Mnanijua mimi nani? Sasa subirini nitoke ndo mtajua kwamba si kila mtu huwa anawekwa mahabusu'......najaribu tu kubuni lol

Wamtoe jumapili
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…