Picha: Ephrahim Kibonde wa Clouds FM atiwa nguvuni


Akidhibitiwa na wana usalama


Sent from my iPhone using JamiiForums app
 
Last edited by a moderator:

Kibonde ni mlevi mbwa tu hakuna kingine na mjuaji sana.
 
Ama kweli leo Kibonde kabondeka!ujanja na ujuaji wote kwisha...the guy thought he was above the law.
 
Invisible mlituambia Jamii Media imeajili waandishi wake wa habari sasa wanafanya nini hii thread tumeshaanza kulishana matango pori ni kwa nini waandishi wa Jamii media polisi tupate usahihi wa habari hii?
 
Last edited by a moderator:
Dah... Kweli mwosha huoshwa! Huyu jamaa anajifanya kwamba anajua kila kitu.. Kuanzia dini, sheria, uchumi, ufundi, siasa na hata mahusiano ya jamii. Leo imekuwaje?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…