Picha: Ephrahim Kibonde wa Clouds FM atiwa nguvuni

Wana Jf, kumekuwa na malalamiko mengi humu jamnvini kuhusu kiburi cha watangazaji wa kituo cha radio cha Clouds FM kuwa juu ya sheria za nchi kwa kufanya mambo watakavyo.

Leo mmoja wao ameonja joto la jiwe baada ya kujifanya mbabe na kumtukana askari wa usalama barabarani Leo asubuhi, picha hapa ikionyesha EPHRAHIM Kibonde akiwekwa chini ya ulinzi baada ya kumtusi askari.



 

Attachments

  • kibonde.jpg
    21.4 KB · Views: 25,044
Fitna zenu ukawa tuu mtangaika sana
 
Reactions: amu
Duh! Alikuwa mbishi nini kwenda kituoni, mbona kama anamfunga pingu?
 
Fitna zenu ukawa tuu mtangaika sana

Watu wengine kweli viazi. Mtu katuletea habari na picha wewe unasema fitina za UKAWA, kwani wao ndio waliomwambia amtukane askari?


Sent from my iPad using JamiiForums
 
Watu wengine kweli viazi. Mtu katuletea habari na picha wewe unasema fitina za UKAWA, kwani wao ndio waliomwambia amtukane askari?


Sent from my iPad using JamiiForums
Una ushahidi wa askari kutukanwa?
 


TII SHERIA BILA SHURUTI...
 
Tatizo ni foleni wandugu. Tuko wengi tuna hasira kutokana na kucheleweshwa makazini na foleni ya magari jijini. Maaskari wa barabarani ni wasumbufu sana,mara nyingi wanachelewesha magari ya upande fulani,na kuruhusu ya upande mwingine kwa muda mrefu. Nafikiri jamaa alikuwa anawahi airport. Lakini kwa nini adhalilishwe hadharani kiasi hicho,askari wetu wanatumia maguvu zaidi,kichwani zero. Sikubaliani na kibonde kwa mengi,lakini kwa hili amedhalilihwa.
 
Fitna zenu ukawa tuu mtangaika sana

kwan huyo afande ni askar wa ukawa,tumia akili nyie ndo mnasababisha machafuko ya nchi,huyo kibonde alifaa kua kioo cha jamii matokeo yake anajiona ye ndo supa katka tz,haya sasa anadhalilika barabarani kweupe,sema sasa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…