Picha: Ephrahim Kibonde wa Clouds FM atiwa nguvuni


kwa tanzania hapa hana kosa
 
watu wa karibu na nani?
kwanza haipendi JF, pili mjuaji mjuaji sana, tatu anadharau, 4 hajielewi kama hajielewi, 5 endelea na ww
Ushabiki wake na propaganda kwa magamba umepitiliza, kiasi ambacho vipindi anavyoviendesha Clouds FM, wakati mwingine utahisi unasikiliza Radio Uhuru!
 

Mkuu lile ni igizo la Polisi na Kibonde kwenye filamu ya utii bila shuruti.
Yaan it was stupid at its best...
 
kawaida ya watanzania tunatabia za chukichuki kwa tabia hii tunaipeleka nchi kubaya. naombe tuwe makini
 
Hii ni thread of the Day
Mods please ifanyeni kuwa Stick
 
askari wanajitahidi sana kazi nzuri

Ni kweli High Vampire wanafanya kazi nzuri sana ila kwa bahati mbaya sana wanachukiwa na watu wengi.Kiukweli wanahitaji kutiwa moyo sana mi binafsi huwa nawaonea huruma sana kwa kazi yao Hiyo ngumu.
 
Last edited by a moderator:
Invisible mlituambia Jamii Media imeajili waandishi wake wa habari sasa wanafanya nini hii thread tumeshaanza kulishana matango pori ni kwa nini waandishi wa Jamii media polisi tupate usahihi wa habari hii?

Nimetembelea wall ya Anord Kayanda kweli wako ndani na kwa maelezo yake hadi Captain Gadna na yeye yuko ndani Oysterbay police
 
Last edited by a moderator:

Sio kwa Nchi yetu hii,na si ajabu wakasema walikua wana tengeneza tangazo hilo sio tukio la kweli.
 
If it was a puplic attention they really nailed it, lakin cha kujiuliza kwann hii ki2imesambaa gafla ivyoo...🚐😱😱
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…