Umejifunza nini na unatoa ushauri gani kwake kwa tukio la kufanya ajali na kukaidi amri ya polisi? Na Kibonde huyu ndiye yupo mstari wa mbele kwenye matangazo ya utii wa sheria bila shurti katika usalama barabarani!
Nchi za watu...hawezi tena kuwa mwandishi au mtangazaji labda wa blog
Mwajiri alitakiwa amfukuze
Maadili ya Kibonde yapo ICU, amekaa kijahazijahazi!Tangazo la Kibonde hili hapa!! Baki njia kuu
..
Alikuwa location wakuu! Subirini kile kipindi cha Usalama barabarani mtamuona,
Nchi za watu...hawezi tena kuwa mwandishi au mtangazaji labda wa blog
Mwajiri alitakiwa amfukuze
Umejifunza nini na unatoa ushauri gani kwake kwa tukio la kufanya ajali na kukaidi amri ya polisi? Na Kibonde huyu ndiye yupo mstari wa mbele kwenye matangazo ya utii wa sheria bila shurti katika usalama barabarani!
Hapa akiwa lumande.
MkuuRevocatus Kashaga kama vipi iongezee na picha hii hapo juu kwenye thread mama.
Alikuwa location wakuu! Subirini kile kipindi cha Usalama barabarani mtamuona,
Inasemekana ishu ya kibonde ni tangazo walikua wanafanya la utii wa sheria bila shuruti kupitia Clouds TV na Radio
Unamaanisha:UBU TBC au AIBU yako Hata Wewe?
Leo ana kazi ya U-MCee sijui itakuwaje?
Maigizo tu yale xxl inatafuta kick na kesho waskilizaji wataongezeka......ubunifu tu wameandaa script na kila mhusika kacheza nafasi yake vzuri
Tangazo la baki njia kuu, michepuko siyo dili, part 2Tangazo la nini? Mbona wote hamtoi maelezo ya kujitosheleza?
Unamshauri afuate nyayo za yule mzee wa mitutu ya SMG, aliyekwapuliwa madola na laptop, na machangu wa mji kasoro bahari?!Atembee na bastola yakr