Picha: Ephrahim Kibonde wa Clouds FM atiwa nguvuni

Picha: Ephrahim Kibonde wa Clouds FM atiwa nguvuni

Umejifunza nini na unatoa ushauri gani kwake kwa tukio la kufanya ajali na kukaidi amri ya polisi? Na Kibonde huyu ndiye yupo mstari wa mbele kwenye matangazo ya utii wa sheria bila shurti katika usalama barabarani!

Allah hamfichi mnafiq
 
Nchi za watu...hawezi tena kuwa mwandishi au mtangazaji labda wa blog
Mwajiri alitakiwa amfukuze

Nina wasiwasi kama mashirika na taasisi yaliyokuwa yamempa mikataba ya matangazo kama yakizingatia maadili kama yataendelea naye!!!
 
Umejifunza nini na unatoa ushauri gani kwake kwa tukio la kufanya ajali na kukaidi amri ya polisi? Na Kibonde huyu ndiye yupo mstari wa mbele kwenye matangazo ya utii wa sheria bila shurti katika usalama barabarani!

Kuna msemo wa Kiswahili-Jina baya..........
 
Inasemekana ishu ya kibonde ni tangazo walikua wanafanya la utii wa sheria bila shuruti kupitia Clouds TV na Radio
 
Hapa akiwa lumande.
MkuuRevocatus Kashaga kama vipi iongezee na picha hii hapo juu kwenye thread mama.
10547643_914842108530628_9034999250813738969_n.jpg

Mbona kaingia na viatu?

Mwendawazimu kaingiaje apo?
 
Inasemekana ishu ya kibonde ni tangazo walikua wanafanya la utii wa sheria bila shuruti kupitia Clouds TV na Radio

Weka habari kamali otherwise itabaki hivyo kwamba mlevi kaharibu na yupo selo.
 
Nilichojifunza: " Anaichezea sharubu serikali kama simba aliyelowa akidhani ni paka ". Kisa?Clouds FM wamewahi andaa "birthday" ya mheshimiwa sana ,yeye akawa MC...
 
Washabiki wa Clouds watakuja kusema hiyo ilikuwa ni kick tu ili wasikilizaji waongezeke! Mmojawapo ni huyu Mmasihiya

Maigizo tu yale xxl inatafuta kick na kesho waskilizaji wataongezeka......ubunifu tu wameandaa script na kila mhusika kacheza nafasi yake vzuri
 
Tangazo la nini? Mbona wote hamtoi maelezo ya kujitosheleza?
Tangazo la baki njia kuu, michepuko siyo dili, part 2

Bango lake coming very soon, kwenye njia kuu zote za barabarani, Tanganyika na Zenj!
 
Kwa haraka haraka kakutwa na makosa matano
 
Attachments

  • uploadfromtaptalk1407653880467.jpg
    uploadfromtaptalk1407653880467.jpg
    29.7 KB · Views: 304
aache jeuri ,sote tuko chini ya sheria,anatangazia wengine michepuko kumbe yeye ndo chanzo
 
Hawa ni watangazaji wa Clouds redio wamekamatwa na kuwekwa ndani.

Source: Mwananchi
 
Back
Top Bottom