Picha: Ephrahim Kibonde wa Clouds FM atiwa nguvuni

Picha: Ephrahim Kibonde wa Clouds FM atiwa nguvuni

Thread nyingine bhana yan mtu anakurupuka huko anakuja kuannzisha uzi usioeleweka,sasa hapa tutaelewa nn?kama mtu huna maelezo yakutosha nivyema upige kimya tu
Hawa ni watangazaji wa Clouds redio wamekamatwa na kuwekwa ndani.

Source: Mwananchi
 
Kuna usemi usemao kuchamba kwingi lazima utakutana na m.a.v.i. ...... hawa jamaa hawajitambui, wanajiona ndio wao, wanajisikia kwamba ni masupaaaaa! hawajijui kwamba ni washamba fulani tu..... tena wanayoyaongea na kuyatenda wapi na wapi! hapo lazima sheria ichukue mkono wake
 
from the comments huyu ndiye mtangazaji wa radio anayeongoza kwa kuchukiwa
 
from the comments huyu ndiye mtangazaji wa radio anayeongoza kwa kuchukiwa

Chuki ni mtoto wa matendo ya Chuki au dhulma ya kimali au kimawazo,ukiona hivyo hafai mbele ya wengi na huu ni mrejesho wa watu kupinga upuuzi wake wa kinafiki!!!
 
Redio ya maccm hiyo... unaweza kuta yuko nje sasa hivi pamoja na kwamba wanasema alipiga makofi polisi pia!

Tumpe asalaam aleykum popote pale alipo Mr much know! mpigieni na ile honi ya jahazi... puuuuuuuuuuh, puuuuuh:director:
 
Kule mbagala kuna sehem inaitwa kibonde maji isije ikawa nikwake.. Maana huyu nae niKibonde Maji
 
Mbona maneno yako na matendo yako yamekuwa tofauti sana
 
Attachments

  • 1407660761239.jpg
    1407660761239.jpg
    76.3 KB · Views: 325
Habari JF lovers,
Hii ishu ya Kibonde ni kama ime kick sana, kwamba alijaribu kuvunja sheria huku akiwa amelewa,
The fact is Kibonde alikua anatengeneza Tangazo la Usalama Barabarani "TII SHERIA BILA SHURUTI"
 
Tangazo eti?
 
Attachments

  • 1407661774634.jpg
    1407661774634.jpg
    27.9 KB · Views: 735
Habari JF lovers,
Hii ishu ya Kibonde ni kama ime kick sana, kwamba alijaribu kuvunja sheria huku akiwa amelewa,
The fact is Kibonde alikua anatengeneza Tangazo la Usalama Barabarani "TII SHERIA BILA SHURUTI"

Tangazo?
 
Attachments

  • IMG-20140810-WA0005.jpg
    IMG-20140810-WA0005.jpg
    51.6 KB · Views: 1,050
Back
Top Bottom