Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
acha ujinga mkuu, jamaa alilewa
Kwani gazeti lina kipi cha ajabu?
Habari JF lovers,
Hii ishu ya Kibonde ni kama ime kick sana, kwamba alijaribu kuvunja sheria huku akiwa amelewa,
The fact is Kibonde alikua anatengeneza Tangazo la Usalama Barabarani "TII SHERIA BILA SHURUTI"
Mhariri anaruhusu habari pasipo kuihakiki?
ignorant wataisha lini?
Kesho njoo mahakama ya mwanzo Kinondoni na uje umpokee mumeo maana kesho dhamana anatapata.[/QUOTE
Kwani mangapi yameandikwa kuhakikiwa
Kesho njoo mahakama ya mwanzo Kinondoni na uje umpokee mumeo maana kesho dhamana anatapata.[/QUOTE
Mtu kama huyu anamaana gani?
Je, amelazimishwa kukubali?
Matusi na udhalilishaji vya nini kama huna hoja ka kimya usituletee mambo ya CCM
Habari JF lovers,
Hii ishu ya Kibonde ni kama ime kick sana, kwamba alijaribu kuvunja sheria huku akiwa amelewa,
The fact is Kibonde alikua anatengeneza Tangazo la Usalama Barabarani "TII SHERIA BILA SHURUTI"
Mtu kama huyu anamaana gani?
Je, amelazimishwa kukubali?
Matusi na udhalilishaji vya nini kama huna hoja ka kimya usituletee mambo ya CCM
Nawewe usituletee mambo yenu ya ujingajinga,danganyeni wasikilizaji wenu vilaza na uelewe jamaa yupo rumande na muwahishieni msosi ama sivyo atakula kile chakula chetu kile.
Unamshauri afuate nyayo za yule mzee wa mitutu ya SMG, aliyekwapuliwa madola na laptop, na machangu wa mji kasoro bahari?!