Hawa ni watangazaji wa Clouds redio wamekamatwa na kuwekwa ndani.
Source: Mwananchi
Gadna..
from the comments huyu ndiye mtangazaji wa radio anayeongoza kwa kuchukiwa
kwani anaumwa mpaka ameze vidonge
lilikua tangazo wakuu
namshauri afuate maelekezo ya daktari kuhusu ARV.
Habari JF lovers,
Hii ishu ya Kibonde ni kama ime kick sana, kwamba alijaribu kuvunja sheria huku akiwa amelewa,
The fact is Kibonde alikua anatengeneza Tangazo la Usalama Barabarani "TII SHERIA BILA SHURUTI"