Picha: Ephrahim Kibonde wa Clouds FM atiwa nguvuni

Seems Tanzanian's are so gullible.Are you expecting us to believe this bullshit?
 
na si kama mdhaniavo

the stupidest post in 100 years

kama unapewa pesa kuja kuosha, basi nakushauri urudishe, WATANZANIA SI MABWEGE TENA

NI UJINGA MLIOJIWEKEA WA KUDHANI YOU ARE INVISIBLE AND EVERYONE ELSE IS STUPID

USHAURI WA ZIADA: KUNYWENI DAWA ZENU KWA WAKATI, PUNGUZENI POMBE HALAFU KUWENI HUMBLE.... OTHERWISE. MTAUMBUKA SANA TU
 
Na hilo je nalo ni tangazo???

hapo chacha..
gazeti linaweza kweli kuandika habari kama hii bila ya uchunguzi na kujiridhisha kwamba ni za kweli??.. na sio igizo kama wanavodai wengine humu?? wacheni propaganda zenu bana. jamaa walikuwa tungi na wameharibu.. imekula kwao heko polisi mmefanya kazi bila kuangalia sura ya mtu. Ila nina wasiwasi kesho J3 huyu jamaa ataachiwa tu kwa order kutoka magogoni pale kwani ni kada mzuri tu wa magamba
 

Huyo michael power yupo wapi alikua anapendeza kwenye yale matangazo
 
Lock up gn hyo watuhumiwA wamevaa viatu, Haf ni nani mwenyew uwezo Wa kupiga picha lock up?? Labd km ni askar mwnyw bt Bado haiingii akilin

Viatu viko wapi? Angalia vizuri
 
Kanjanja kibonde kesho mahakamani, ujuaji mwingi mbele giza.
 
Huyu jamaa huwa hana akili vizuri anaongea Kama ana ubongo wa mtoto mchanga,huwa kila baada ya mda anafanya kituko cha karñe hasa kuropoka!!!
 
Watu wasiokuwa na faida duniani wakifa ni lazima niende buchani kununuwa figo na maini ili nile rost ya kushangilia

Kwahiyo mkuu vitu hivyo unakula hadi kwenye misiba tu?


Sent from my iPad Air using JamiiForums
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…