Picha: Ephrahim Kibonde wa Clouds FM atiwa nguvuni

Picha: Ephrahim Kibonde wa Clouds FM atiwa nguvuni

Clouds wanafanya utafiti "namna watangazaji wake walivyo maarufu".

Ni bahati sana kafanya fujo kwa mzungu,mwarabu ange"mfuturu" peupe pee.
 
Sasa si unaambiwa ya kwake yamezidi we vp, siku ukipata nafasi mchunguze
vizuri hata kwenye lile tangazo lake la michepuko si dili akikenua tu (japo huwa anajitahidi kuyaficha)
utaiona dental formula yake ilivyokaa ovyo meno yamezidi hadi kupandana

ZigZAG
 
mbona salva wa ikulu hadi sasa hivi hajatoa tamko?
 
Umejuaje alikua TINGASI? ulimpima? au Traffic police walimpima na kukupa taarifa?

A typical bongo!!

Kwa ushahidi wa kimazingira alikuwa ameklewa.Anayejitambua hawezifanya yale.Ebu uje muulize vizuri mkiwa chumbani
 
I wish ningekuwamo mle selo pale Obay, maana ni nafasi pekee ambayo ningemfanyizia chochote tu ilimradi hasira zangu juu ya cloudz zipungue, nadhani ningemwagia ndoo ya m..A...vi halafu najua ningepigwa kidogo tu na askari lakini lengo lingetimia.
 
Kibonde sijui huwa anafikiri kwa kutumia nini? Ana akili ndogo sana.
Ova.
 
Habari kutoka kituo cha kati osterbay kuwa hilo suala limepelekwa kwa kamanda kova kwa maridhiano, suluhu na fidia kwa kibonge ili suala lisifike mahakamani

mpaka napata habari hizi kikao cha maridhiano bado kinaendelea kati ya maafisa wa police (akiwemo kova na watu wa karibu wa kibonde) na wahanga wa tukio.
 
JF fanyeni research kabla hujapost,Kibonde walikuwa wanatengeneza tangazo la utii was sheria bila shuruti! On a sasa watu mmeanza kumhukumu
 
hahahahahahahaha.........SHUZI LIMEMPATA MJAMBAJIIIIII!!!!!!!!
Kibonde Mr. Ushauri kumbe ana vurugu hvyoo.....
 
Wakuu mpaka sasa clouds bado hamja waelewa.Msiamini lolote kutoka kwao,hilo ni tangazo tu kama ilivyokuwa ile ya watangazaji kupigana studio. Kibonde hapo yupo kazini hakuna ukweli wowote ni maigizo tu
 
1407582180673.jpg
 
Back
Top Bottom