Kambaresharubu
JF-Expert Member
- Jan 5, 2014
- 335
- 449
Utakuja kusikia ilikuwa wanarekodi tangazo la PAZA SAUTI, UKIMYA HAUSAIDII!!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hivi huyu Jamaa kesi yake ya Kumteka Askari iliishia wapi?
www.jamiiforums.com/habari-na-hoja-...rafiki-wa-kike-atekwa-akiwa-barabarani-6.html
Sasa si unaambiwa ya kwake yamezidi we vp, siku ukipata nafasi mchunguze
vizuri hata kwenye lile tangazo lake la michepuko si dili akikenua tu (japo huwa anajitahidi kuyaficha)
utaiona dental formula yake ilivyokaa ovyo meno yamezidi hadi kupandana
Umejuaje alikua TINGASI? ulimpima? au Traffic police walimpima na kukupa taarifa?
A typical bongo!!
Hii ndo jf bwana hadi raha ahsante sana Tytaaisee.....
Hii habari ni kweli na huyu Miss ni nani?
Started by FairPlayer, 25th March 2010 14:12
hiyo source ndio #1 kwa umbea....
mbona salva wa ikulu hadi sasa hivi hajatoa tamko?