Picha: Ephrahim Kibonde wa Clouds FM atiwa nguvuni

Picha: Ephrahim Kibonde wa Clouds FM atiwa nguvuni

Majibu mepesi kwenye maswali magumu! wabongo bana! eti tangazo!
 
Eti 'public figure', kibonde?
Kumbuka Christopher Ole Sendeka.........., zeros!
 
Kibonde ni public figure. Kwani kawakoseeni kitu gani mbona chuki sasa?
 
Hiv hao wanaofanya mkataba nae wakichukulia hii scandal kama inavyo changiwa hum ndani bado anaendelea kuwa mtangazaji wa TV na RADIO? Je uhalali wake kwa kutangaza unaonekanaje kwa watu baada ya tukio hili?

Najarib kujiulza atakanusha au atakaa kimya na kuendelea na vipindi kama kawaida?

Je hili ni tukio binafsi ambalo haliihusu clouds media au inahusika? Kama inahusika je kwa sababu ya public interest wanachochote cha kusema?

Tahadhari wasije na swaga za igizo kama la xxl,
 
Haya, na hapo lupango ananyea debe pia ni tangazo?
 

Attachments

  • 1407595812918.jpg
    1407595812918.jpg
    60.8 KB · Views: 332
Ee bwana wanasema testing a dose of your own medicine, kudadadeki hadi Jumatatu!

attachment.php


Jamaa kama mjasiri amali, hili alitoe kama tangazo la mchepuko! Kibonde alisahau kama mchepuko siyo dili!
 
Ee bwana wanasema testing a dose of your own medicine, kudadadeki hadi Jumatatu!

attachment.php


Jamaa kama mjasiri amali, hili alitoe kama tangazo la mchepuko! Kibonde alisahau kama mchepuko siyo dili!

na pozi ndo lilelile aisee
 
Clouds ifungwe utoto na ulimbukeni vimewazidi,mara wapigane mara watukane sasa kibonde kupita wote leo analeta mambo ya ujuaji namna hii,mie nimeshauri apelekwe s.shari mpaka j3
 
Haya jamani mi nawaachia nyie muamue kama hii ni shooting ya tangazo la utii wa sheria bila shurti au ndo wanataka kutupotezea issue

10590577_628353400614092_5585622190314235384_n.jpg
 
Tafakari halafu baadaye unaweza muelewa mtoa mada ukiunganisha na suala la Kibonde kuvunja sheria kwa makusudi


Nimemwelewa vizuri sana na ndipo nikaandika
 
Back
Top Bottom