Picha: Ephrahim Kibonde wa Clouds FM atiwa nguvuni

Picha: Ephrahim Kibonde wa Clouds FM atiwa nguvuni

Nimetembelea wall ya Anord Kayanda kweli wako ndani na kwa maelezo yake hadi Captain Gadna na yeye yuko ndani Oysterbay police

Gadner anahusika vipi na kesi ya Kibonde? nimesearch facebook Anord Kayanda pijampata.
 
Modes tafadhali hii kitu kimeanza asubuhi nabado hadi usiku huu watu hatuna uhakika kama nikweli ama act.. Toeni tamko la kuthibitisha hili kama vipi thread ifungwe.
 
sijui kwann jf huwa wanapenda sana kuhukumu, well to me mtu yyte akikosea anakosea kama binadamu mwingine yyte yule na hili halifanyi mtu ashushiwe utu wake kwa kashfa na matusi.

kwangu mimi hii wala sio habari na in fact anaonekana kwamba ni mtu ambaye wanajf wanakunwa kila wamuonapo ndo mana mnampa publicity kubwa kiasi hiki.
 
sijui kwann jf huwa wanapenda sana kuhukumu, well to me mtu yyte akikosea anakosea kama binadamu mwingine yyte yule na hili halifanyi mtu ashushiwe utu wake kwa kashfa na matusi.

kwangu mimi hii wala sio habari na in fact anaonekana kwamba ni mtu ambaye wanajf wanakunwa kila wamuonapo ndo mana mnampa publicity kubwa kiasi hiki.
Umeachakuhukumu?

Sheenz type
 
Kibonde wa Clouds anadaiwa kusababisha ajali asubuhi hii eneo la Makumbusho, amemgonga dereva mwingine kwa nyuma. Trafiki walipofika kupima ajali, Kibonde karudi nyuma kaendesha gari lake kasepa! Trafiki katumia gari lililogongwa kumfukuzia. Walifanikiwa kumkamata eneo la Mwenge. Trafiki aliingia ktk gari lake na kumwomba arudi eneo la ajali ili wakapime na kuchora mchoro wa ajali. Kibonde kagoma na kumtaka trafiki ashuke ktk gari lake, trafiki naye kagoma kushuka. Mchezo ulioendelea Kibonde aliondoa gari na kuanza kupiga misele, akizunguka mitaa akiwa na trafiki huyo! Trafiki aliwasiliana na wenzake ambao walianza kuifuatilia gari hiyo ya Kibonde kila kiunga cha jiji hususani eneo la Mwenge na Ubungo. Hayawi, hayawi yakawa, Kibonde akatokea maeneo ya mataa ya Ubungo, hapo nikashuhudia senema ya Kibonde na trafiki! Trafiki wa kike aliyekua eneo hilo akaipiga mkono gari ya Kibonde iliyokuwa kasi, gari hiyo haikuonesha dalili za kupunguza mwendo. Trafiki alikomaa kusimama mkono wake ukiwa juu kuashiria kumtaka Kibonde asimame huku akipaza sauti ktk radio call akisema ananigonga, afande, ananigonga! Akiwa ktk hali hiyo, kuna gari ilikotokea sikujua ikakatisha kati ya trafiki na gari ya Kibonde ndiyo ikawa kigingi cha gari ya Kibonde na kutiwa mbaroni! Aligoma kuendesha gari ikabidi livutwe hadi polisi Urafiki ambapo kwa sasa amepelekwa Oystabay! Kwa utafiti wangu kidogo nilioufanya nikifukuzana na muda kuwahi kanisani, ni kwamba Kibonde na watu wengine aliokuwanao ndani ya gari lake walikuwa 'TINGASI'!

Wewe ndio umepelekaa habari bongo5 ama umecopy kule?
 
Huko selo ngoja wampapase kwanza interahamwe mkubwa yule! Yaani ningekuwa karibu ningetupia Kondom lock up ili kuwakinga jamaa
 
by Njou;
Ha haaa naelekea mitaa ya Ihanja leo




Mkuu Njou wasalimie Nkhoiree hapo!
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom