PICHA: Freeman Mbowe katika uso wa tabasamu na furaha kubwa hii leo Juni 30, 2025

Jibu swali langu
Huu ujinga wa kujibu swali kwa kuuliza swali ndo mnafundishwa huko Lumumba??
Hivi umepita hata shule kweli?

Nilikuuliza Mbowe ni gaidi au sio gaidi, lakini nashangaa unakuja na viswali vya ajabu ajabu hapa. 🚮🚮🚮
 
Huyo Chawa hawezi kujibu hilo swali mkuu, nimeshamuuliza zaidi ya mara tatu anakwepa, ndo uone alivyo mnafiki.
 
Anatafuta mfanyakazi wa kuogesha mbwa badhani ndugu mwashambwa unafaa mno
 
Huu ujinga wa kujibu swali kwa kuuliza swali ndo mnafundishwa huko Lumumba??
Hivi umepita hata shule kweli?

Nilikuuliza Mbowe ni gaidi au sio gaidi, lakini nashangaa unakuja na viswali vya ajabu ajabu hapa. 🚮🚮🚮
Jibu swali nililokuuliza na siyo kupiga porojo zako hapa
 
Wapambanaji enzi za kina Nyerere wangekuwa kama Mbowe, Afrika isingepata uhuru.
Kupigania uhuru nakufanya siasa za vyama vingi ni vitu viwili tofauti ndo maana kila nchi kipindi cha uhuru ilitumia njia yake,kuna waliopigana vita nawako walikaa mezani wakapanga mipango kama kina nyerere..Tatizo lako nikufikiri siasa za upinzani ni fujo.Alafu wakati huo huna kila kitu zaidi ya mdomo na mitandao.labda kama umeshikiwa akili ndo maana huoni tofauti.
 
Mageuzi yanahitaji nguvu,je wewe uko tayari kutoa nguvu zako yapatikane hayo mageuzi unayoyataka au ugine ambao angalau mawazo yao na jitihada zao zimeonekana.najificha tu mitandaoni ukisakizia wenzako wakaumie.Jitokeze uanzishe hayo mageuzi watu watakufwata sio kutupa lawama kwa wen
Huyo sio mwanasiasa tena wa kuongoza mageuzi.
 
Na ule uwanja wa Mtekelezo wameizungushia uzio wawavu ili usitumike bila vibali

Hivyo hawataki utumike kwa upinzani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…