PICHA: Freeman Mbowe katika uso wa tabasamu na furaha kubwa hii leo Juni 30, 2025

Dah, Ila siasa ni field ya ajabu sana. Mbowe alivyoishia kutukanwa na kudhihakiwa na kina Heche! Sikuamini..!
Halafu walipofanikiwa Heche akanza Kumwita Mwenyekiti wetu Mungu akubariki sana kwa kazi kubwa ulioifanya CHADEMA!
Heche hajitambui kabisa na mdomo wake ule wa uropokaji
 
Mbowe ni mwanasiasa wa mfano Afrika kwenye siasa za upinzani.
Nyerere mwenyewe hata baada ya kustaafu, aliendelea kupaza sauti kupinga maovu ya watala. Sasa huyu anae kaa kimya licha ya madudu yote yanayoendelea ni mwanasiasa kweli wa kutetea dhulumu na uonevu dhidi ya wananchi?

Hata kuandika tu chochote ameshindwa?

Bora hata Askofu Bagonza na wengineo kuliko Mbowe.

Yeye alipowekwa ndani wenzake walikaa kimya?

No wonder alimuokoa Masauni kwenye msiba wa Mzee Kibao ila uzuri Lema alimpa ukweli wake.
 
Dah, Ila siasa ni field ya ajabu sana. Mbowe alivyoishia kutukanwa na kudhihakiwa na kina Heche! Sikuamini..!
Halafu walipofanikiwa Heche akanza Kumwita Mwenyekiti wetu Mungu akubariki sana kwa kazi kubwa ulioifanya CHADEMA!
Hebu orodhesha hayo matusi aliyotukanwa na kina heche. Chawa
 
Najua mnaumia sana na kuteseka sana mioyo wenu mnapoona Mwamba amejikalia kimya na kuwaacha na ujuaji wenu. Pambaneni kivyenu. Si mlijifanya wajuaji?
 

Msiturudishe kufikiria ujinga na upumbavu uliokwisha kupita...

Sasa ni mwendo wa NO REFORMS NO ELECTION tu...

Hatuna time na washirika wa CCM.....

Hatuna time na watu walio na shirika na shetani...

Hatuna time na watu walio na shirika na dhuluma na haki..
 
Najua mnaumia sana na kuteseka sana mioyo wenu mnapoona Mwamba amejikalia kimya na kuwaacha na ujuaji wenu. Pambaneni kivyenu. Si mlijifanya wajuaji?
Tungemhitaji tusingefanya uchaguzi, tungemuacha aendelee kuwa mwenye kiti. Lakini kwa sababu ananunulika kirahisi na CCM, tuliona hatufikishi popote kwenye harakati za kujikomboa kutoka kwa mkoloni mweusi CCM. Sasa tumefika tulipopataka na naona mnakaribia kujiharishia.
 
Anastahili heshima yake katika ujenzi wa upinzani imara wakati wake. Tofauti na wa sasa wasio na Dira wala muelekeo wala ushawishi kwa watu
Hivi kwa nini RPC wa Dodoma alihamishwa? Au ni ile nyomi ya NRNE, by the way, ile nyomi na zingine zote zilikua zinaenda mikutanoni kwa ridhaa zao, sio kwa kusombwa na malori na matrekta kama magunia ya mkaa. Huo ndo ushawishi kwa watu, CCM ndo hamna ushawishi kabisaaa, mmebakia kutumia polisi, mahakama na msajili tu.
 
Hapa tayari alishapotea.Konyagi nyoko sana tena ya mchana wa jua kali.
Your browser is not able to display this video.
Your browser is not able to display this video.
 
Kwa hiyo mama akikatazwa kugombea ndani ya sisiem unaenda kuwa chawa wa Mbowe, siyo?.

Ila Luka wewe ni mnyumbulifu sana yaani baada ya tetesi za jana umeshaanza kutafuta plan B.

Haya!?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…