PICHA: Freeman Mbowe katika uso wa tabasamu na furaha kubwa hii leo Juni 30, 2025

Mbowe kushindwa uwenyekiti Dunia imemtambua ni mtu wa aina Gani, ni ajabu Sana mwanachama anayekipenda chama chake kindakindaki akae kimya chama kinapopitia wakati mgumu, sio sawa.
 
Tangu lini we Luka mshamba ukasifia upinzani! Huyo ni mtu wenu,acheni upinzani wa kweli uwasemee wananchi na kuipambania haki
 
Mbowe kushindwa uwenyekiti Dunia imemtambua ni mtu wa aina Gani, ni ajabu Sana mwanachama anayekipenda chama chake kindakindaki akae kimya chama kinapopitia wakati mgumu, sio sawa.
Kwani wewe nani kakuzuia kuongea kwa mdomo wako au unataka akuongelea wewe
 
Jembe limenunulika na Amsterdam. Mbaya sana hii.
 
Dah, Ila siasa ni field ya ajabu sana. Mbowe alivyoishia kutukanwa na kudhihakiwa na kina Heche! Sikuamini..!
Halafu walipofanikiwa Heche akanza Kumwita Mwenyekiti wetu Mungu akubariki sana kwa kazi kubwa ulioifanya CHADEMA!
Heche hajawahi kumtukana Mbowe popote rekebisha kauli yako
 
Kwa kweli hili jabali lilitulinda sana.
Lakini hili li Tundu Lisu hili hata ukilipa mabilioni halikubali.
We fikiria Abdul alivyotimuliwa na mabegi yake.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…