RRONDO
JF-Expert Member
- Jan 3, 2010
- 55,727
- 123,094
Kuna Uzi wenu kule chiniWale wanaolala kwenye magari siku moja moja wanacomment wapi?[emoji81][emoji81][emoji81]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kuna Uzi wenu kule chiniWale wanaolala kwenye magari siku moja moja wanacomment wapi?[emoji81][emoji81][emoji81]
Tung'ang'ane na CCM kama ndege john![emoji81][emoji81][emoji81]
Hapa hiviBangi huwa unaiifadhi sehemu gani??
Mkuu unapika ukimaliza unaweka kwenye chumba kirefu (ukumbini) kuliko kupikia ndani hatari zaidi.Nje watapita nalo
AiseeKidumu Chama cha mapinduziView attachment 1064911
CCM milele yoteMfia chama wa ccm
Mbona nyumba zenu za kishua mnapikia ndani?Mkuu unapika ukimaliza unaweka kwenye chumba kirefu (ukumbini) kuliko kupikia ndani hatari zaidi.
Mafaili hayo hahahahaHahahahah hivi mkuu mbona kitanda kimejaa huwa unalala ukiwa umesimama?
Sent using Jamii Forums mobile app
Feni zipo ninayo na ya panga boiNinachokushukuru umeifanya asuhuh yangu iwe njema sana. Nimechekaaa [emoji2][emoji1][emoji23].
Huko ndani unapata hewa kweli?
Yes ila jiko linatengwa.Mbona nyumba zenu za kishua mnapikia ndani?
[emoji16][emoji16][emoji16]Tung'ang'ane na CCM kama ndege john![emoji81][emoji81][emoji81]
Kapuku kivipi wakati na maisha yangu nimeridhika Mambo mdogo mdogoYaani ukiona comments zako na ulivyomuunga mkono mkuu wa juhudi unaweza dhani unaishi life standard kumbe kapuku
Sent using Jamii Forums mobile app
Ina maana jiko La gesi unapikia chumbani 😳😳Kwa hiyo aliweke likae nje? Atalikuta? Sisi kwetu hata ndoo za kuogea hatuachi nje uniambie niweke jiko nje kweli?? Ungekuwa unaishi uswahilini kama unavyojifanya hapa usingesema hiyo kauli maana ungekuwa unajua mazingira ya uswahilini
Sent using Jamii Forums mobile app
Hee hizi dharau 🤣🤣🤣Picha hizo nilifikiri vitu vimetupwa nje
Sent from my SM-G570F using Tapatalk
We jinga kweli ndio maana mnataka kuiweka ccm milele.. Yaani unaridhika na hiyo stoo eti chumba. Unaridhika na hivyo Viatu kama mtego wa kukamatia swala.Kapuku kivipi wakati na maisha yangu nimeridhika Mambo mdogo mdogo
Kumbe nikapikie wapi?Ina maana jiko La gesi unapikia chumbani [emoji15][emoji15]
Kama likilipuka humo chumbani si bora kupikia nje mpendwa