Picha: H. Baba, Florah ndani ya mjengo mpya

Wanajishaua kujifanya ndo akina jay z na beyonce, maana bibie flora na yeye siku izi anaimba, yan ukisikia anavyoimba utataman kumzaba vibao, na izo pesa sijui wanapata wapi wasitudanganye mziki

Hahahaaaa,na kile kisauti sasa??hata huyo mumewe sijui anaimba nini nae muziki umeshamtupa
 

Mh,unajiweza wewe???hadi ukaimalizia?Mimi siwezi kwa kweli japo sijaiona....
 
Bina nyumba ipi kodi ni milioni na nusu???hiyo waliopanga

Tena inaweza ikawa zaidi binamu, mi nyumba za mbezi beach nazijua vizur binamu, unaweza kukuta nyumba ya kawaida unaambiwa laki nne kwa mwez, sasa hilo ghorof unadhan utaambiwa laki sita au saba? Haiwezekani
 
Tena inaweza ikawa zaidi binamu, mi nyumba za mbezi beach nazijua vizur binamu, unaweza kukuta nyumba ya kawaida unaambiwa laki nne kwa mwez, sasa hilo ghorof unadhan utaambiwa laki sita au saba? Haiwezekani

Kumbe ulimaanisha kwa mwezi milioni na nusu sio kwa mwaka ee nilitaka kushangaaaa
 

Kama umepanga au huna nyumba hauhitajiki kutukana hapa
 

Milioni 1.5 kwa mwaka au kwa mwezi?
 
Yaani kupanga kwa wanaume wenzio au kwa wamama na wadada wenye nazo nayo ni sifa???!!! Nilifikiri wamejenga kumbe kupanga. Aibu sana.
 
hapo wamepanga wanajinadi hiviiiiiii....wangejenga je..tungekunywa majiiii......heeee
 
chako ni chako hata kama kidogo.......wajitahidi wajenge...... ili hata siku wakikwama basi wapate pa kuwasitiri.......siyo baadae wanakwama wanakuwa wakimbizi......leo kwa mshkaji huyu...kesho kwa yule.......
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…