Picha: Haji Manara aoa mke wa pili jioni ya Aprili 14, 2022

Picha: Haji Manara aoa mke wa pili jioni ya Aprili 14, 2022

JanguKamaJangu

JF-Expert Member
Joined
Feb 7, 2022
Posts
2,780
Reaction score
6,607
Afisa Mhamasishaji wa Klabu ya Yanga, Haji Manara katika picha mara baada ya kufunga ndoa kwa mke wake wa pili jioni ya Alhamisi Aprili 14, 2022

Manara Mke (1).jpg

Manara Mke (2).jpg

278433917_5022385267843179_3790716216638728609_n.jpg

278443453_1009183903363769_8556869093762768159_n.jpg
 
Kuna mke mmoja wa Manara alisema hakuna mwanamke atakayeweza kuishi na Manara hata wao walimvumilia yakawashinda sijui jamaa huwa ana shida gani maana kwa umri wake kuhangaika na ndoa inaonyesha kuna kitu hakipo sawa kwake.
 
Hivi ni kwa nini Waislamu wa Tanzania Mke wa kwanza anayeanza naye maisha anakuwa mweusi Mwafrika akipata hela kufanikiwa mke wa pili ni mwarabu/nusu Mwarabu na ni Waislamu wote wa Tanzania isipokuwa labda Raisi Shein yeye angalau huonekana na Mke wake wa zamani.
 
Dini inasema unapotaka kuoa mke wa pili ni lazima uombe ridhaa kwa mke wako wa Kwanza.

Je, Manara ana baraka za mkewe mkubwa?

Jibu ni no,

Manara ana uwezo wa kuishi na wake wawili?

Jibu ni no,

Kama hivyo, basi tusubiri matukio ya manara kukimbiwa.
 
Back
Top Bottom