Picha: Haji Manara aoa mke wa pili jioni ya Aprili 14, 2022

Picha: Haji Manara aoa mke wa pili jioni ya Aprili 14, 2022

Dini inasema unapotaka kuoa mke wa pili ni lazima uombe ridhaa kwa mke wako wa Kwanza.
Je manara ana baraka za mkewe mkubwa?

Jibu ni no,

Manara ana uwezo wa kuishi na wake wawili?
Jibu ni no,

Kama hivyo ,basi tusubiri matukio ya manara kukimbiwa .,
Dini gani hiyo? tuanzie hapo
 
Kwa lulu hata mie sitaki apake make up, yaan anakua vyedi, kuliko akijilipua na madoido sijui anakuaje hata.
Yan hutaki ....Unampangia maisha ....dah kazi ipo adse [emoji38][emoji38][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
 
Konda kanitia stress
77789e322fc54663849844eecec15d05.jpg
 
Hivi ni kwa nini Waislamu wa Tanzania Mke wa kwanza anayeanza naye maisha anaukuwa mweusi Mwafrika akipata hela kufanikiwa mke wa pili ni mwarabu/nusu Mwarabu na ni Waislamu wote wa Tanzania isipokuwa labda Raisi Shein yeye angalau huonekana na Mke wake wa zamani.

Waarabu ni dili ujue!
 
Dini inasema unapotaka kuoa mke wa pili ni lazima uombe ridhaa kwa mke wako wa Kwanza.
Je manara ana baraka za mkewe mkubwa?

Jibu ni no,

Manara ana uwezo wa kuishi na wake wawili?
Jibu ni no,

Kama hivyo ,basi tusubiri matukio ya manara kukimbiwa .,
Uislamu hausemi ivo
 
Uislamu hausemi ivo
Unasema kuhusu mke wa pili?
Ni lazima uombe idhini kwa mkeo mkubwa.

Hivi unadhani kumwambiya mke unataka kuoa mke wa pili ni purukushani ndogo?
 
Unasema kuhusu mke wa pili?
Ni lazima uombe idhini kwa mkeo mkubwa.

Hivi unadhani kumwambiya mke unataka kuoa mke wa pili ni purukushani ndogo?
Ttzo we mkristo hlf unatka kujifanya unayajua mambo ya Uislamu

sawa bhna nimekusikia
 
Back
Top Bottom