Picha: Haji Manara aoa mke wa pili jioni ya Aprili 14, 2022

Picha: Haji Manara aoa mke wa pili jioni ya Aprili 14, 2022

Dini ya kiislamu ni uchafu uchafu wa kunuka
Wee peku u know nothing about Islam. Nyie mke mmoja vimada 20, mapadri hawaoi wanalawiti, masister hawaolewi lakini wanaliwa, hamna talaka lakini mnaachana, kwa ufupi kizunguzungu tu
 
Aiseee makafiri chuki zenu mbaya sana
hya tuambie iyo yenu inonukia kwa kulawiti watoto au vipi?
Sasa huko madrasa mnankharibu watoto tang chekechea, huoni eeeh?
 
Manara alishakua kapuku sana, zaidi ya kapuku.

Akaoa wake wawili, akawapeleka Magomeni kuishi na mama yake.

Walikuwa wanahudumiwa na mama yake.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji3][emoji3] ko yeye kazi yake ilikua kuslide nao tyuuh.
 
Uyo bi harusi sio Mwarabu ni Mnyeramba kutoka singida na jina lake sio Rubna uyo binti anaitwa Mwanaidi Salum alikua anaishi vingunguti kwa simba sema kajichubua saivi
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] khaaaaah.
 
We mwenyeo shoga apo

Ebu lete izo facts kma zile za RC kule ili tuamini
Unabadili mada poleeeeh.

Kampe dhamana Mau zinde huko mahakamani. [emoji3][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Manara alishakua kapuku sana, zaidi ya kapuku.

Akaoa wake wawili, akawapeleka Magomeni kuishi na mama yake.

Walikuwa wanahudumiwa na mama yake.
Asante kwa kuwaeleza na wakamvulimia wakashindwa hawa wa kisasa sijui watamuweza kwa lipi
 
Kuna mke mmoja wa Manara alisema hakuna mwanamke atakayeweza kuishi na Manara hata wao walimvumilia yakawashinda sijui jamaa huwa ana shida gani maana kwa umri wake kuhangaika na ndoa inaonyesha kuna kitu hakipo sawa kwake.
Jamaa ana shida, ila si vyema kuzungumzia hapa maisha yake binafsi, kwahiyo tuyaache tu.
 
Back
Top Bottom