Hivi ni kwa nini Waislamu wa Tanzania Mke wa kwanza anayeanza naye maisha anaukuwa mweusi
Mke wa kwanza huwa ni Real Wife upendo ndio uliwafanya wakawa mke na mume,yani mke wa kwanza ndio maana halisi ya upendo.
Tunapokuja kwenye mke wa pili,pale hamna ule upendo kama wa mke wa mwanzo,zile mimi naonaga ni tamaa za mwili kwa mwanaume na mwanamke.
Mwanaume hapa ndio anaweka vigezo vya amtakae,awe vipi,aonekanaje,yani anajichagulia kitu nafsi inataka.
kadhalika na mwanamke nae hakukubaliii tu ila nae kuna vitu vyake kashajiridhisha navyo ndipo anakubali,hvyo sec wife upendo upo kwenye material" hamna ile pure love.
Pure love always ipo kwa mke wa kwanza pale ndio penye chem chem ya mahaba,ila hawa wanaokuja,wote wanakuja kwa kuangaliwa specification zao,Mtu anaangalia RAM ngapi,Storage Ngapi,Android version ipi,nk nk
so ni ngumu sana kukuta mke wa pili na watatu wana sura ngumu kama mke wa kwanza,Wake wote wataokuja ni lazima wawe viwembe ila watakua wazuri,warabu,masingasinga ila Upendo ule wenyewe alieupata ni Mke wa kwanza wengine hamna kitu.