Dejane
JF-Expert Member
- Jan 1, 2014
- 50,587
- 71,492
Tupe ubuyu basi imekuwaje na umejuaje? Kwani wakati wanakubali kuolewa walikuwa hawajui au hawamjui manaraHuyo huyo, bibie anadai talaka, Ila kiasi adai jamani....mtu hata mwaka bado unaletewa mke mpyaaa, kajionea ya nini mieee!🤣🤣