Manara anakuja,proposal ya kwanza anakupiga na kiwanja Pale Kunduchi
Hujapumua mafundi washaanza kujenga ile dream house yako,Hujajigeuza
sawa twende showroom ukachague kiberiti chakutembelea,Mara unapgiwa
simu na wazazi mlete Mkwe nyumbani tumuone,Mnaenda home Mama Mkwe
anatandikwa na Kiberiti cha kutembelea,BABA Mkwe hajaongea vizuri kapewa
Bima anaambiwa Mzee umri umeenda hii BIMA utatibiwa Hospital yyte hii Nchi Free
na zaidi ya hayo BIMA ime cover bills zote,BABA na MAMA wote wakiona hata kipele
kimeota wakimbilie Aghakhan,Hivi unahisi we DINA utachomoa? maana ukichomoa wewe
wazee wako watakurudsha kwa nguvu ya 5G acha kabisa mwanaume akidhamiria
kukuoa anakufanyia mambo ambayo unahisi hakuna mwanaume dunia hii anaweza yafanya.
anakupa care wewe ya 4G halafu ukweni anatoa care ya viwango vya 5G ndio utajua haujui....
Ushawahi ona ile wewe humwelewi mwanaume wako kiviiiileee,ila wazazi na ndugu na jamaa na marafiki Huwaambiiii kitu kuhusu Mume wako,ishawahi kuku tokea hiyo?
Kama bado omba isikukute maana huo mtego mbaya sana,kuna wanaume wana nyota za sir God anapendwa hadi na shetani,unajikuta unamchukia wewe peke ako..
Utaolewa tu mke wa 8 nakwambia