Picha: Haji Manara aoa mke wa pili jioni ya Aprili 14, 2022

Kama kigezo ni uzuri kwa nini ni lazima awe Mwarabu au masinganga kama ulivyosema?
Uzuri ni nini?

Namna mtu anavyokichukulia kitu/mtu.

Haji yeye anajua sifa ya mwanamke mzuri kwake anatakiwa aweje,

huwezi jua labda ili mwanamke aitwe mzuri mbele ya manara ni lazima

atoke kwenye moja ya hayo makundi, mwarabu/singasinga/shyombeshyombe...
 
Sema nke ya manara nzuri jemeni,hata kama nimeoa pisi kama hiyo ikikubali

niiweke mke wa pili bila kuachana na wangu wa kwanza NAOAAAAAAAAAAAA
 
Unadhan ukiwa na ndugu wana uwezo Ndio wataweza kukusaidia au kukuinua shoga ni wachache,
Nimeona video mama yake haji anasema yule Ruby kaumia yupo nae katika kipindi hikikigumu [emoji23][emoji23][emoji23] kama namuona Ruby maskin
🤣🤣🤣 Sasa kinamuuma nini wakati na yeye alimkuta mwenzake!
Na huyo mama mtu nae anamdekeza mwanae, anamsupport, kila akienda kuoa mama yupo.
 
Uzuri ni nini?

Namna mtu anavyokichukulia kitu/mtu.

Haji yeye anajua sifa ya mwanamke mzuri kwake anatakiwa aweje,

huwezi jua labda ili mwanamke aitwe mzuri mbele ya manara ni lazima

atoke kwenye moja ya hayo makundi, mwarabu/singasinga/shyombeshyombe...

Lakini ni Waislamu wa Tanzania wote wanaotajirika, mke wa pili ni mwarabu/nusu mwarabu na siyo swala na mtu mmoja, …
 
Kwani wewe hupendi mwanamke shyombeshyombe mkuu?

Wanaopenda wanawake weusi si wengi kama wanaopenda Rangi za mtume

Tukiachilia maswala ya mahaba/mapenzi/tabia,nk toto la kiarabu unalionaje mkuu? sema tu ukweli wako...

Mi mwenyewe nikiokota mwarabu nahakikisha namjaza,ujinga staki mimi Lazima nichanganye damu.
 
Inashangaza, mtu dada Ake DC, shemeji waziri halafu unaenda kuolewa na Msemaji, Kama ni njaa si Bora angeomba mtaji afanye biashara....Bora hata kudanga kuliko kuolewa na Yule Mzungu....mwanaume gani anachamba vile! Kwanza anaonekana pale gubu ni nyumbani kwao.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Sent from my SM-A715F using JamiiForums mobile app
 
1664285661030.png

Kidogo kope za bandia ziyafanye macho kuwa bandia pia
 
Mmmh 😂😂 hata kama
Manara anakuja,proposal ya kwanza anakupiga na kiwanja Pale Kunduchi

Hujapumua mafundi washaanza kujenga ile dream house yako,Hujajigeuza

sawa twende showroom ukachague kiberiti chakutembelea,Mara unapgiwa

simu na wazazi mlete Mkwe nyumbani tumuone,Mnaenda home Mama Mkwe

anatandikwa na Kiberiti cha kutembelea,BABA Mkwe hajaongea vizuri kapewa

Bima anaambiwa Mzee umri umeenda hii BIMA utatibiwa Hospital yyte hii Nchi Free

na zaidi ya hayo BIMA ime cover bills zote,BABA na MAMA wote wakiona hata kipele

kimeota wakimbilie Aghakhan,Hivi unahisi we DINA utachomoa? maana ukichomoa wewe

wazee wako watakurudsha kwa nguvu ya 5G acha kabisa mwanaume akidhamiria

kukuoa anakufanyia mambo ambayo unahisi hakuna mwanaume dunia hii anaweza yafanya.

anakupa care wewe ya 4G halafu ukweni anatoa care ya viwango vya 5G ndio utajua haujui....

Ushawahi ona ile wewe humwelewi mwanaume wako kiviiiileee,ila wazazi na ndugu na jamaa na marafiki Huwaambiiii kitu kuhusu Mume wako,ishawahi kuku tokea hiyo?

Kama bado omba isikukute maana huo mtego mbaya sana,kuna wanaume wana nyota za sir God anapendwa hadi na shetani,unajikuta unamchukia wewe peke ako..

Utaolewa tu mke wa 8 nakwambia
 
[emoji1][emoji1][emoji38][emoji38][emoji1][emoji1]Yule pisi kaalii balaaa nakajua kale kadada
Manara Ana pesa Sasa hivi,mnooo!manara kwa mwezi anaingiza si chini ya 40m
watu msha calculate,wabongo nyoko nyie

hii nchi watu hawajui tu umejamba saa ngapi

ila vingine vyote wanajua,watu wako serious sana hii nchi
 
Manara anakuja,proposal ya kwanza anakupiga na kiwanja Pale Kunduchi

Hujapumua mafundi washaanza kujenga ile dream house yako,Hujajigeuza

sawa twende showroom ukachague kiberiti chakutembelea,Mara unapgiwa

simu na wazazi mlete Mkwe nyumbani tumuone,Mnaenda home Mama Mkwe

anatandikwa na Kiberiti cha kutembelea,BABA Mkwe hajaongea vizuri kapewa

Bima anaambiwa Mzee umri umeenda hii BIMA utatibiwa Hospital yyte hii Nchi Free

na zaidi ya hayo BIMA ime cover bills zote,BABA na MAMA wote wakiona hata kipele

kimeota wakimbilie Aghakhan,Hivi unahisi we DINA utachomoa? maana ukichomoa wewe

wazee wako watakurudsha kwa nguvu ya 5G acha kabisa mwanaume akidhamiria

kukuoa anakufanyia mambo ambayo unahisi hakuna mwanaume dunia hii anaweza yafanya.

anakupa care wewe ya 4G halafu ukweni anatoa care ya viwango vya 5G ndio utajua haujui....

Ushawahi ona ile wewe humwelewi mwanaume wako kiviiiileee,ila wazazi na ndugu na jamaa na marafiki Huwaambiiii kitu kuhusu Mume wako,ishawahi kuku tokea hiyo?

Kama bado omba isikukute maana huo mtego mbaya sana,kuna wanaume wana nyota za sir God anapendwa hadi na shetani,unajikuta unamchukia wewe peke ako..

Utaolewa tu mke wa 8 nakwambia
Kwa hiyo manara Ndio kawafanyia hivyo hao wake zake 😂😂😂 au yule wahida, mi hapana aki hata anihonge dunia
 
Hapo nimekupa mfano wa namna unaweza kunaswa kwenye huo mtego unao ukataa saivi

Unasema tu hapo ilaa ukitaitishwa kwenye 18,mama ako anakutolea macho,baba anakutolea macho,mbona ndoa hiii hapa naiona...
 
A

Hehehe 🤭
 
Kuna mke mmoja wa Manara alisema hakuna mwanamke atakayeweza kuishi na Manara hata wao walimvumilia yakawashinda sijui jamaa huwa ana shida gani maana kwa umri wake kuhangaika na ndoa inaonyesha kuna kitu hakipo sawa kwake.
Kifupi jamaa ni MTU wa fegi na Heineken kwa sanaaaa.. Of coz mlevi mbwa
 
Back
Top Bottom